• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Historia fupi ya rihanna...

Bilionea kid

Bilionea kid

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2018
Messages
585
Points
500
Bilionea kid

Bilionea kid

JF-Expert Member
Joined Oct 19, 2018
585 500
Hello wanaJF Leo nimekuja na historia fupi ya mwanadada
rihanna

Rihanna Robyn Fenty (amezaliwa tar. 20 Februari 1988) ni msanii wa uimbaji wa muziki wa R&B na pop kutoka nchini Barbados. Anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Rihanna. Alizaliwa mjini Saint Michael, Barbados, na kisha baadaye akaelekea zake nchini Marekani akiwa na umri wa miaka 16 ili kujiendeleza zaidi katika shughuli zake za kirekodi akiwa chini ya uongozi wa mtayarishaji wa rekodi Bw. Evan Rogers.

Rihanna
Rihanna, LOUD Tour, Minneapolis 6 crop.jpg

Maelezo ya awali
Jina la kuzaliwa
Robyn Rihanna Fenty
Amezaliwa
20 Februari 1988 (umri 30)
Asili yake
Saint Michael, Barbados
Aina ya muziki
R&B, reggae
Kazi yake
Mwimbaji, Mwanamitindo
Miaka ya kazi
2005–hadi leo
Studio
Def Jam Recordings
Tovuti
www.rihannanow.com
Baadaye akaja kuingia mkataba na studio ya Def Jam Recordings baada ya kusailiwa na kiongozi wa studio hiyo Bw. Jay-Z.[1]

Da'Vinci Mshana Jr ledada
 
Bilionea kid

Bilionea kid

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2018
Messages
585
Points
500
Bilionea kid

Bilionea kid

JF-Expert Member
Joined Oct 19, 2018
585 500
Thanxs mkuu ,huyu demu nampenda kinyama harafu huwa hachuji
Nikwel pamoja na uzuri wote alio nao rihanna hawezi kukonyeza yaani kufumba jicho moja hawezi

Akijaribu kukonyeza macho yote yanajifumba
Hahaha

Amakwel kizuri hakikosi kasoro
 
Mshana Jr

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
134,579
Points
2,000
Mshana Jr

Mshana Jr

Platinum Member
Joined Aug 19, 2012
134,579 2,000
Hello wanaJF Leo nimekuja na historia fupi ya mwanadada
rihanna

Rihanna Robyn Fenty (amezaliwa tar. 20 Februari 1988) ni msanii wa uimbaji wa muziki wa R&B na pop kutoka nchini Barbados. Anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Rihanna. Alizaliwa mjini Saint Michael, Barbados, na kisha baadaye akaelekea zake nchini Marekani akiwa na umri wa miaka 16 ili kujiendeleza zaidi katika shughuli zake za kirekodi akiwa chini ya uongozi wa mtayarishaji wa rekodi Bw. Evan Rogers.

Rihanna
Rihanna, LOUD Tour, Minneapolis 6 crop.jpg

Maelezo ya awali
Jina la kuzaliwa
Robyn Rihanna Fenty
Amezaliwa
20 Februari 1988 (umri 30)
Asili yake
Saint Michael, Barbados
Aina ya muziki
R&B, reggae
Kazi yake
Mwimbaji, Mwanamitindo
Miaka ya kazi
2005–hadi leo
Studio
Def Jam Recordings
Tovuti
www.rihannanow.com
Baadaye akaja kuingia mkataba na studio ya Def Jam Recordings baada ya kusailiwa na kiongozi wa studio hiyo Bw. Jay-Z.[1]

Da'Vinci Mshana Jr ledada
1988? Nilikuwa niko form one
 
Mama Sabrina

Mama Sabrina

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2016
Messages
16,861
Points
2,000
Mama Sabrina

Mama Sabrina

JF-Expert Member
Joined Jul 30, 2016
16,861 2,000
Nikwel pamoja na uzuri wote alio nao rihanna hawezi kukonyeza yaani kufumba jicho moja hawezi

Akijaribu kukonyeza macho yote yanajifumba
Hahaha

Amakwel kizuri hakikosi kasoro
Sasa mbona tatizo dogo sana hilo
 
Forum statistics

Threads 1,405,223
Members 531,947
Posts 34,481,280
Top