Baada ya kuwa katika upinzani wa muda mrefu, hatimaye wasanii nyota nchini Tanzania, Diamond Platinum na ALIKIBA wamekutana na kumaliza tofauti zao za muda mrefu.
Hatua hiyo imepokelewa kwa...
Amefanya unyama huo na kutokomea kusiko julikana, kampiga kisu cha sikio mamake na kuliacha sikio linaning'inia kisa eti anamroga ndio maana nyimbo hazivumi.
source : clouds fm
Raha ya kuachwa jaribu kuchagua mpz ambaye hata ex wako akimuona au akimsikia roho inamuuma na sio kutafuta bwegeee..
Asilimia kubwa hilo hatulijui muumize ex wako kwa kutoka na mtu aliye juuu...
Kwanza: kabisa nianze na wasafi fm ambayo ipo nyuma ya Paul makonda,
hawatoweza hata siku moja kuizima CLOUDS fm ingawa wana Matatizo Yao ikiwemo kuwanyonya wasanii watu wengi tuliamini E fm ndo...
Wentworth Miller, Maarufu zaidi kama Michael Scofield
Mwigizaji Victor Garber
Ricky Martin
Adam Lambert
Anne Burrell na patna wake
Neil Patrick Harris na patna...
Habari zenu wakuu kwema??..Ni hivi kume kuwa kuna huu msemo ni wa mda kidogo unaitwa Konk huu msemo ni msemo wa miaka kama 3 au mi 4 ivi imepita na huu msemo muanzilishi wa huu msemo ni Huyu dogo...
1. Ali kiba
Moja kati ya wasanii ambao wamejaaliwa kipaji na sauti nzuri ila jamaa anajiamini kupita kiasi na ili akubali ushauri au idea ya kuendeleza kipaji chake nguvu kubwa sana inahitajika...
Sam Mahela ni kijana bora kabisa anayechipukia kwa kasi zaidi ktk tasnia ya habari nchini.
Kijana Sam asipoonekana kwenye taarifa ya habari ya saa 2 pale ITV usiku wangu ukosa raha.Zaidi sana...
Mtoto wa Konki konki konki Master Dudu Baya amefunguka kuhusu tuhuma zinazomkumba baba yake za kumuhusisha na ushoga na kusema baba yake siyo shoga. Wille amesema anachofanya baba yake ni kuwataja...
Bondia asiyepigika mwenye pesa chafu ambaye pia anashika namba moja kwa wanamichezo walioingiza pesa ndefu zaidi mwaka huu pia anashika nafasi ya tatu kwa wanamichezo wenye pesa zaidi duniani...
Pancho Latino maarufu 'Mafia' amefariki dunia kwenye ajali ya kuzama kwenye maji wakati anaogelea kwenye kisiwa cha Mbudya, jijini Dar es Salaam
Pancho alikuwa mtayarishaji wa muziki katika...
Sina uhakika kama ndo lilikua jina lako lakini nina uhakika ni hilo sijakosea.
Pascalina nimependezwa mno na juhudi zako kama mwanamke kujiinua kiuchumi kuliko wanaokaa wanasubiri kuolewa...
Msanii mkongwe wa muziki wa hip hop nchini Dudu Baya amefunguka maana ya ‘Konki Master’, hii inakuja mara baada ya msemo huo kujizoelea umaarufu kwa muda mfupi tu tangu alipoutumia.
”Konki ni mtu...
Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imesema kampeni ya kuwasaka watu wanaojihusisha na vitendo vya ushoga inayoratibiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es...
Baada ya Wasafi TV kufanya vizuri kila kona ya TZ sasa Wasafi FM Coming soon,ila huku sasa kwenye radio station ndo kwenye ushindani halisi,ngoja tuone
Mtangazaji ‘ Kipenzi ‘ cha wengi Cloudstv360 Babie Kabae katika hali isiyokuwa ya kawaida leo asubuhi aliweza kutoa ‘ dukuduku ‘ lake moyoni kwa kumshauri Rais JPM ajitahidi awe anatenga muda...
Alipozaliwa wazazi wake wakamwita Godfrey William Tumain.......
Baadae sasa akaanza kujipachika majina ya ajabu ajabu tu......mara:- Ngumi jiwe....akaibuka na jina lingine....Mapafu ya...
Msanii Dudubaya amefunguka na kusema kuwa maisha ya kuwa maarufu ni magumu sana kwani kuna wakati unashindwa kufanya vitu ambavyo wewe unapenda kutokana na kuwa na umaarufu.
Dudubaya kupitia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.