Watch "Wasafi FM 88.9 DSM mitambo imewashwa. Sanaa imezaliwa upya" on YouTube

eastmea

Senior Member
Jul 28, 2018
159
250


Kwanza kabisa niwapongeze wasafi kwa hatua waliyoipiga kwani sio jambo dogo kwa hatua waliyofikia

Wasafi FM ni radio ambayo inapatikana kwa mkoa dar es salaam tu hii ni kutokana na sheria zinavyobana kwani haziruhusu kuanzisha radio kwa mkoa zaidi ya mmoja mpaka pale itakapotimiza miaka mitatu na kuendelea kwani naamini diamond hawezi kushindwa kuanzisha zaidi ya mikoa mitano kwa mkupuo iwe kwa uwezo wake binafsi au kwa udhamini wowote ule ila tatizo sheria haziruhusu
Hakika sanaa imezaliwa upya
Ningependa kumshauri waziri wa hii idara aingalie upya hii sheria kwani ni kizuizi kwa maendeleo ya haraka
 

k29

JF-Expert Member
Dec 14, 2014
709
1,000
sisi tulio mkoani huku inabidi muwe mnatutumia voice note ya hiyo radio. Tuamini kama kweli sanaa imezaliwa upya
 

eastmea

Senior Member
Jul 28, 2018
159
250
sisi tulio mkoani huku inabidi muwe mnatutumia voice note ya hiyo radio. Tuamini kama kweli sanaa imezaliwa upya
Hapana mkuu mi napendekeza jamaaa aanzishe application ambayo itaweza kumfikia mtu popote pale kwani ni watu wengi wamepania sana
 
  • Thanks
Reactions: k29

clixus

JF-Expert Member
Dec 4, 2016
766
500
Nimeinjoy NAyo leo ngoma mwanzo mwisho alaf ipo karib kweny frequency na maadui zaooo
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom