Nawapa taarifa wafuasi na mashabiki wa Chadema kuwa diamond platnumz ni mkubwa kuliko chama chenu.
Naona sasa hivi mnaendesha jaribio la mtandaoni kumzuia Diamond kufanya shughuli zake za muziki...
Mjadala ambao umechukua hisia za mashabiki katika viunga mbalimbali Africa ya mashariki ni kuhusu hoja iliyoletwa na watangazaji vijana machachari wa East Africa radio kuwa Diamond Platinumz ni...
Diamond Imemchukua Miaka 6 Kumtengeneza Jux kuwa Msanii Namba 2, Alianza 2019 Akambless na Sugua, 2023 Enjoy, 2024 Ololufe Mi, Zote Hits
2023 Akampeleka BK Arena RWANDA [emoji1206] Kwenye Trace...
Usiku wa kuamkia leo msanii Yammi amefanya uzinduzi wa wimbo wake mpya na akifanya interview na waandishi wa habari amefunguka kuwaalika wasanii Nandy na Billnass lakini hawajatokea, mbali na hilo...
Staa wa zamani wa Yanga Princess anayekipiga klabu ya wanawake ya Al Nassr amefunguka kuhusu mahusiano.
Anasema kwasasa hana mpenzi kwakuwa wanaume wengi wanaogopa kumtongoza.
Una maoni gani?
Source: BBC
South African reggae musician, Lucky Dube, has been shot dead in front of his children during an attempted car hijacking. What is your reaction to his death?
One of South Africa's...
Wakuu
Huu mbona kama ni mkakati hivi wa kutaka kututoa kwenye Reli?
Msanii wa Bongo Fleva, Nadeem Abdul maarufu kwa jina la Diamond Platnumz amemuoa mpenzi wake wa muda mrefu Zuhura Othman Soud...
Namuona sana kijana mmoja mtandaon anaitwa jay Combat.
Anajua kuimba nyimbo za uswazi almaaurufu mnanda au mchiriku au vanga.
Kiukweli toka atutoke duniani Juma Mpogo GOAT wa mnanda bado pengo...
Wakuu!
Msanii Ambwene Yesaya maarufu A.Y amesema wanaomkasirikia kisa kuwa Samia Kings hawana utimamu wa akili, akijibu madai ya baadhi ya mashabiki wanaomtuhumu kwa Uchawa.
ASKOFU Josephat Gwajima wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, amesema yeye si tajiri kama inavyodhaniwa, bali alichonacho ikiwa ni pamoja na nyumba, magari na helikopta ni baraka tu za Mungu, lakini kama...
Hatimaye!
Baada ya sarakasi nyingi, Msanii Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’ amekata shauri la kumuoa mpenzi wake ambaye ni msanii ndani ya lebo yake ya muziki (WCB) Zuhura Othman Soud ‘Zuchu’...
"Mwijaku asiwaongopee watu kuwa amejenga atuonesha hati kama kuna jina lake mke wake ana msitiri tu kuishi kwake alichokisema @officialbabalevo kina ukweli ndiyo maana alikaa kimya" Alisema Haji...
Genius Kadungure aka Ginimbi ni raia wa zimbabwe ambaye alizaliwa tarehe 10 October 1984,Mwaka 2000 alianza kujishughulisha na uuzaji wa mitungi ya gas na kuanza kusupply majumbani,alifanya...
Vanessa alitumia akili ya kuzaliwa kujiondoa kwenye uswahili. Akajiweka sehemu inayoeleweka. Fikiria mpaka leo angekua bado anatembelea IST na kubebeshwa unga ingekuaje?
taarifa nilizopata muda si mrefu mwandishi wa habari aliyejipatia umarufu kwa kufichua rushwa za trafiki naye amekamatwa kwa kuomba rushwa ya milioni 10
====
MAHAKAMA jijini Dar es Salaam...
Chivh ni mji mdogo wenye mkusanyiko wa wakazi laki moja na elf 13. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka 2017. Mji wa Chivh upo umbali wa kilometers 141 kusini mwa jiji la Harare. Njia kuu ya...
Wakuu
Ebu tumjadili huyu kijana ambaye amereform kutoka kuwa shoga mpaka kuwa kondoo wa Bwana.
Huyu jamaa nijuavyo hana kazi yoyote ya kumuingizia kipato.ila nashangaa anajimwambafai eti anataka...
Yule katibu wa mkoa wa Kinondoni na katibu wa kuteuliwa wa kanda maalum ya Dar es salaam CHADEMA, Henry Kileo na mwanadada Joyce Kiria ambaye ni mtangazaji wa EATV, siku ya tarehe 4.09.2011...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.