Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Msanii wa filamu na Mwenyekiti wa Mama Ongea na Mwanao alikuwa na haya baada ya Mpina kutoendekeza Uchawa kwa Rais "Mh Rais Samia Suluhu Hassan hongera sana kwa Ziara Meatu, Haiwezekani kila mtu...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Wanazengo ngoja na Mimi Leo ni jaribu kuwapa umbea wa code sijui ntaweza mbea Mimi🤣🤣 , haya twende Sasa Yule boss mfupi mwenye kumiliki redio flani hivi inayokuja kwa kasi, inasemekana yupo...
49 Reactions
2K Replies
352K Views
Staa wa Bongo Fleva, Ben Pol, amefurahia baraka mpya maishani mwake baada ya kubarikiwa mtoto. Msanii huyo ame-share furaha yake na mashabiki kwa ku-post picha mtandaoni, akionyesha upendo wake...
6 Reactions
68 Replies
3K Views
Akihojiwa na MaxMedia aliyekuwa msanii maarufu wa bongo flavour Dudu Baya anajutia kuzaliwa mtu mweusi. Kauli Yake. I hate blacks. Mimi najuta kuzaliwa jitu jeusi. Nachukia sana majitu meusi...
12 Reactions
46 Replies
2K Views
Muigizaji wa Filamu Nchini Tanzania Hawa almaarufu Carina amefariki Dunia akiwa Nchini India ambako alikuwa anapatiwa matibabu Hawa alitarajiwa kurejea Leo Nchini Tanzania baada ya kufanyiwa...
20 Reactions
359 Replies
25K Views
Sina wa kumlaumu, niilijipoteza mwenyewe, Kwa sehemu kubwa Jamii hainitazami tena kwa jicho la Usaidizi, Jamii inanitazama kama Mlevi au Teja, Lakini pengine Mimi ni Mfano hai unaoweza kutumika...
6 Reactions
7 Replies
663 Views
Ni Wajih Sheikh,..., namumiss sana. Allikuwa ni favourite wangu mkubwa sana. Ilikuwa waki-team up na Othman Miraji, utapenda kuwasikiliza bila kikomo. I really miss him!
1 Reactions
32 Replies
25K Views
Miongoni mwa sintofahamu inayoendelea ni kutojulikana alipo aliyekuwa staa wa Bongo Movies, Mikalla aliyeng’ara kwenye Filamu ya The Lost Twins akitumia jina la Anita; filamu iliyoandaliwa na...
7 Reactions
29 Replies
8K Views
Ipo video inakwenda viral mtandaoni inamuonyesha huyu dada anajiita "Lulu" , Lulu Mapunda ambapo anasema watu walifika kwenye sehemu yake ya biashara wametaka kumteka ikabidi atoroke upesi. Hii...
3 Reactions
37 Replies
2K Views
Nyota wa Bongo Fleva, diamondplatnumz , ametunukiwa Cheti Maalum cha Heshima baada ya kufanikisha kuuza tiketi zote na kujaza ukumbi maarufu wa Royal Albert Hall jijini London, Uingereza. Huu ni...
7 Reactions
95 Replies
4K Views
Wakuu, naona Rose Ndauka amejitenga na uchawa tofauti na wasanii wenzake, kwakweli tunahitaji wasanii wa aina hii Cc Waufukweni Kupitia Instagram page yake ameandika: "Kwa yanayoendelea...
17 Reactions
28 Replies
2K Views
Ni nani Leo angejua mtoto wa kimasikini kutoka Tandale angefanya Show Uingereza London na ticket kuwa sold out In this life everything is possible keep chasing ur dreams and don't give up.
13 Reactions
34 Replies
1K Views
Kiukweli nimesikitishwa sana na uandaaji wa kampuni hii ya BRITTS EVENTS iliyoandaa show ya Stuttgart Germany. Kinachoniuma na kunisikitisha zaidi ni jinsi watu walivyoamua kujitolea kuja...
1 Reactions
157 Replies
28K Views
Wakuu Tusimame pamoja tupaze sauti tusiyakalie kimya haya yanayoendelea, kama jirani yako hayupo salama ina maana hata wewe haupo salama. === Msanii wa muziki Vitali Maembe ametoa wimbo...
13 Reactions
49 Replies
2K Views
C&P kutoka kwa mwandishi akielezea maisha yake haya Hili gazeti ni la kusoma kwa wiki nzima... Soma taratibu usije fukuzwa kazi huko. Nipo busy si update blog mpaka Friday au Saturday so hii...
13 Reactions
1K Replies
147K Views
Huyu hapa Mbosso aka Mshedede. Alipotoka kwenye lebo namba moja Africa Mashariki ya WCB kila mtu alisubiri kuona anafanya nini. Kiukweli nathibitisha sasa Mbosso ameiva. First touch yake ni...
11 Reactions
30 Replies
2K Views
Nyota wa zamani wa klabu maarufu za Ajax, PSG, AC Milan, Barcelona na Manchester United, Zlatan Ibrahimovic, ambaye kwa sasa ni mshauri wa uongozi wa mabingwa mara saba wa Ligi ya Mabingwa Ulaya...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Wakuu hapa tulipofika mbona kama pabaya. Kuna haja gani ya kumtishia kisa tu ameisapoti No reforms, mbona hao chawa wao wanasapoti Oktoba wanatiki na hakuna aliyewatishia? Hakuna haja ya...
7 Reactions
29 Replies
2K Views
Mods: Naomba msiihamishe thread hii; nimepata tabu sana kuipata. Kumbukeni wana JF wana haki ya kujua matokeo ya kura zilizopigwa. Katika Mchakato wa Kumtafuta JF Man of the Year 2010 uliohusisha...
2 Reactions
96 Replies
10K Views
Nikiri tu kwamba mimi namchukia sana huyu dogo. Sababu ni moja tu, kuonesha dharau na Chili kwa mtu aliyemsaidia. Sote tunajua maisha yalivyo magumu mtaani. Sasa ukipata mtu akushike mkono...
22 Reactions
58 Replies
5K Views
Back
Top Bottom