https://www.instagram.com/reel/DK2yiqMNG2v/?igsh=aTdsZGNiMHc5bThn
Ni kama ndoto ambayo imegeuka kuwa kweli.
Msanii wa bongofleva kujaza ukumbi mkubwa kwenye jiji la London.
Diamond ameweka...
Rais wa TFF Wallace Karia,amemshitaki Haji Sunday Manara,kwa tuhuma za kuchapisha maandiko mbali mbali kwenye mitandao yake ya kijamii ya kumtaka Rais huyo ajiuzulu kwa tuhuma za TFF kudaiwa na...
Hakika zama zimebadilika sana.
Katika kupita mtandaoni nikakutana na picha ya msanii Platform.. Imenifikirisha sana. Itafikia muda sasa jinsia ya kiume kuwa na mionekano ionekane ni sahihi tu...
Huyu mtangazaji hivi sasa anaendesha kipindi cha ujumbe katika muziki,ana sauti nzuri na anatangaza vizuri na kwa hisia.
Ameanza na wimbo wa sauda aliyepata mimba nje ya ndoa wakati mumewe yuko...
1. Watoto wa mke mkubwa wakiongozwa na mtoto mkubwa Vivian Kikii Wanadai hawajashirikishwa msiba wa Baba yao toka utokee.
2. Ikumbukwe Mzee Kikii alikua na Mke zaidi ya mmoja, ambao Mke mkubwa...
Hayo yamewekwa wazi na mbunge wa viti maalum, Halima James Mdee akihojiwa na Wasafi Fm leo asubuhi.
My take:
Vijana mnakwama wapi? Lishangazi hilo lipo free changamkieni fursa
Akizungumza na waandishi wa habari kwenye usiku wa mwanadada Yammi, Haji Sunday Manara amesema kama Diamond angechelewa kumuoa Zuchu basi yeye angeenda kutoa posa kwa Bi Khadija Kopa ili amuoe...
Rachel Temu maarufu Sana kwenye mtandao wa Instagram akitumia jina gumu - Tempestitouslyracheltemu ni mwanamke anaejinasibu kua yeye ni mke wa afisa flan wa ubaloz kutokea Zimbabwe. Anaishi...
CALIFORNIA, Marekani: NYOTA wa NBA, Kevin Durant, amezidi kwa warembo, kwani taarifa zinasema sasa anatoka na modo Sabrina Brazil.
Taarifa zinanyetisha kuwa mkali huyu wa timu ya Golden State...
Wajue watu wanaompa Mkongwe KOFFI OLOMIDE Nguvu ya Kudumu kwenye Muziki wa Afrika Takribani Miaka 40 Leo..
Wanasema Penye Mafanikio ya Mtu lazima kuna Connection au Mchakato flani wa kueleweka...
Mimi ni msikilizaji mzuri wa radio mbalimbali ikiwamo Wasafi Fm.
Vipindi karibuni vyote kama Wasafi fm ukikuta wanamu_interview mtu au msanii huwa wanaboa sana wanajidai wanajua kwenda Kwa...
Wakuu,
Baada ya wananchi kuvamia page za serikali mpaka za rais samia na no reforms no election chawa na kupe wa mama wamekuja na kampeni yao ili kuonesha mama anakubalika.
Kwenye masuala ya...
Mtoto wa Will Smith, Jaden Smith, amefungua mgahawa wake wa "I Love You Restaurant”—mahali ambapo watu wenye uhitaji na wanaokabiliwa na ukosefu wa makazi wanaweza kula BURE.
Sasa, mtu yeyote...
Jamani hii couple ya Navykenzo hua naipenda sana. Imedumu na ni mfano wa kuigwa. Sijawaona hadharani siku nyingi mpaka nilipowaona Jana kwenye harusi ya Jux.
Nahreel hana raha na amekonda na sio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.