Meja Jenerali Isamuhyo
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 3,475
- 10,340
Staa wa zamani wa Yanga Princess anayekipiga klabu ya wanawake ya Al Nassr amefunguka kuhusu mahusiano.
Anasema kwasasa hana mpenzi kwakuwa wanaume wengi wanaogopa kumtongoza.
Una maoni gani?
Anasema kwasasa hana mpenzi kwakuwa wanaume wengi wanaogopa kumtongoza.
Una maoni gani?