Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Watanzania wafarijika baada ya kuona muonekano mpya wa chid benzi, you know what? GOD DID. Msanii mkongwe wa muziki wa Bongo Fleva, Chid Benz, aliyewahi kuwa mraibu wa dawa za kulevya...
27 Reactions
70 Replies
4K Views
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Gigy Money, uongozi wa msanii Gigy Money umeeleza kuwa msanii huyo anaumwa na anahitaji maombi kutoka kwa mashabiki wake. Taarifa hiyo imekanusha uvumi kuwa...
11 Reactions
199 Replies
14K Views
KFC ni kifupi cha Kentucky Fried Chicken, mgahawa maarufu duniani kwa kuuza kuku wa kukaanga. Historia yake inaanzia kwa mtu mmoja aitwaye Harland Sanders, ambaye alizaliwa mwaka 1890 huko...
3 Reactions
1 Replies
507 Views
Upande wa Mashtaka Wamaliza Kuwasilisha Ushahidi Baada ya wiki sita za usikilizwaji na mashahidi 34 wakitoa ushahidi (akiwemo Cassie Ventura), upande wa mashtaka umemaliza kutoa ushahidi wake...
3 Reactions
2 Replies
495 Views
Kufikia 24 Juni 2025, baada ya kusikiliza ushahidi kwa zaidi ya wiki saba na mashahidi 34, upande wa mashtaka na ule wa utetezi wamefunga kesi zao rasmi. Kilichowashangaza wengi ni kwamba upande...
1 Reactions
2 Replies
553 Views
Msanii kutokea Tanzania Diamond Platnumz amepewa tuzo maalum na Youtube kwa kufikisha subscribers Milioni kwenye ukurasa wake wa Youtube Hongera zake na kaimprove kuongea kingereza
3 Reactions
7 Replies
740 Views
Katika hatua ya kushangaza, upande wa utetezi katika kesi ya sex trafficking inayomkabili msanii maarufu Sean “Diddy” Combs umemaliza kutoa hoja zake bila kumuita shahidi yeyote mahakamani. Hii...
0 Reactions
0 Replies
361 Views
Get rich or die trying Baada Yakuonyeshwa Stoo Ya Magari Juzi Na Bilionea Lugumi nae kijana mdogo anaekuja kwa kasi ya kutisha kwenye utajiri Chief Godlove Kapata Hasira na kuamua kuvuta gari...
24 Reactions
87 Replies
13K Views
Mrembo wa dunia na mwenza wake kuelekea Maldives kwa ajili ya fungate Mwezi mmoja gharama ya fungate inakaribia TZS 300m. Pole Chibu
7 Reactions
88 Replies
5K Views
Leo tuwataje watu maarufu hapa bongo ambao ni kama wamegoma kuzeeka. Yaani wapo vilevile miaka nenda miaka rudi. Naanza na Blandina Chagula maarufu kama Johari. Huyu tangu tukiwa wadogo yupo...
23 Reactions
239 Replies
15K Views
Kanye West, msanii maarufu na mbunifu wa mitindo kutoka Marekani, amedai kuwa viatu vyake vya slippers vimeuza zaidi ya dola milioni 2 (takriban shilingi bilioni 5 za Kitanzania) kwa muda wa chini...
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Hakika album yako imesheheni sana madini ambayo kwa kipindi hiki ni ngumu kuyapata kwa wanamuziki wengne Nmpenda pia ubunifu wako wa njia ya usambazaji wa watu kulipia kwanza mwezi mmoja kabla...
16 Reactions
111 Replies
67K Views
Young Lunya alikuwa kwenye nafasi nzuri kwenye game kwa kutoa kazi mara kwa mara zilizo hit na kumpa umaarufu. lakini tangu asaini na label ya Sony Africa ni kama kajizika, Sony wamembana sana...
3 Reactions
9 Replies
718 Views
Msanii wa filamu nchi ameonyesha hisia zake baada ya kufika katika uzinduzi wa daraja la Magufuli liliozinduliwa leo na Rais Samia, na haya ndiyo aliyoandika katika ukurasa wake wa Instagram...
4 Reactions
19 Replies
1K Views
Me vs bongo hip-pop artist part 1
1 Reactions
2 Replies
316 Views
Nyota ya msanii wa kimataifa kutoka ktk ardhi ya Tanzania Diamond Platnumz, aka Chibu, aka Simba Yazidi kung'ara mwaka huu 2020. Baada ya taasisi mbili kubwa za kijamii kumwandalia tuzo ya (TUZO...
6 Reactions
29 Replies
6K Views
Habari ndio imeandikwa hivyo na baadhi ya picha..... ===================== ===================== Did Y'all Know That There Were INSTAGRAM BOOTY MODELS . . . In AFRICA . . . And This THICK Chick...
3 Reactions
91 Replies
23K Views
Mwigizaji wa Marekani, Tyler Perry ameshitakiwa na mwigizaji Derek Dixon kwa madai ya unyanyasaji wa kijinsia kazini, ambapo amedai fidia ya Dola milioni 260 [TZS bilioni 674.25]. Dixon anadai...
3 Reactions
13 Replies
970 Views
Pavel Durov, Muamzilishi wa program ya Telegram, ameeleza kuwa atawawachia watoto zaidi ya 100 mali zake zenye thamani ya takriban shilingi trilioni 45. Alisema hayo katika mahojiano na gazeti la...
3 Reactions
1 Replies
918 Views
Back
Top Bottom