Hapo Ina maana anakula na analiwaMbona kuna picha yakiume hapo
Jay Z ndo alikua chakula mkuu...😁😁😁mwenyekiti wa wafukua mitaro duniani naye yupo
Kwahiyo hapo nani alikuwa akimla mwenzie? Dah hii dunia ina mambo ya ajabu kabisa.
Nilitarajia neno 'RUMOUR' nilikute hapo ila lipo kwa demu tu.
Huyo sean combs vipihii ni list ya jay-z mpaka kuwa beyonce.
View attachment 3361688
HahahaMbona kuna picha yakiume hapo
Bwana Ali Msomali Aliwanyoosha wote Jay Z na Beyoncé wakiwa mume na mke, Jamaa sijui alikuwa anatumia mganga gani kwa kweli.
Mpaka Diamond pia Kama inavyolipotiwa na wadaku wa mitandaoni- alipakuliwa malinda- sijui Kama hii ni kweli?Bwana Ali Msomali Aliwanyoosha wote Jay Z na Beyoncé wakiwa mume na mke, Jamaa sijui alikuwa anatumia mganga gani kwa kweli.
😁😁Mpaka Diamond pia Kama inavyolipotiwa na wadaku wa mitandaoni- alipakuliwa malinda- sijui Kama hii ni kweli?
Mpaka Diamond pia Kama inavyolipotiwa na wadaku wa mitandaoni- alipakuliwa malinda- sijui Kama hii ni kweli?