Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Sikiliza na wewe hapo DOGO S.KIDE DIAMOND KABLA HAJATOKA - YouTube
0 Reactions
37 Replies
9K Views
Shilole ameingia katika akaunti yake ya Instagram na kusema kuwa makalio yake ni original. Alijaribu kuwadiss mahasimu wake ambao anawadhania kutumia chupi bandia kuonekana na makalio makubwa...
0 Reactions
53 Replies
11K Views
Msanii wa zamani wa kundi la Wakilisha, Witness Mwaijaga, amesema pamoja na kufanya hip hop kwa sasa ni mfanyabiashara na mtaalam wa tiba asili zinazotumia vyakula vyenye virutubisho...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Ostaz Juma ameendelea kuongezea petroli kwenye moto aliouwasha jana. Na sasa amewaamkia wasanii na watangazaji wote wa redio nchini akisema njaa inawasumbua na ndio maana wamekuwa...
0 Reactions
60 Replies
10K Views
Dada yetu Masogange akiwa analirusha mara kulia mara kushoto bila wasiwasi wa landlord
9 Reactions
179 Replies
32K Views
Stori: Hamida Hassan na Gladness Mallya Makubwa! Mtabiri maarufu Bongo, Maalim Hussein Yahya ameanika nyota za baadhi ya mastaa wa Bongo katika kipengele cha mapenzi au ngono, Risasi...
0 Reactions
30 Replies
22K Views
Licha ya kubadili dini na kuwa muislam kisha kupewa jina la Rahma, staa wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel amesema sasa anatamani kurejea ‘ulokoleni’ na kumrudia Yesu kwa kuokoka...
2 Reactions
14 Replies
4K Views
Haya tena kile kikosi cha CSI cha JF tunaomba mtupe listi kamili ya orodha za safari alizozifanya JK mwaka huu Kisha tuangalie zipi zilikuwa na ULAZIMA na zipi zilikuwa hazina ulazima kisha...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Kwa mitandao kumingia kero, kila mmoja anatamani hata kwa upeo kujipatia umaarufu zaidi. Kwa akina dada umaarufu wao wa mitandaoni wanatumia miili yao kuonyesha dunia nzima...jambo ambalo kwa...
0 Reactions
98 Replies
31K Views
Status update ya Ridhiwani Kikwete FB.... "Baada ya kusoma taarifa toka kwenye Ukuta wa dada Diagi Janguo juu ya msiba wa Bi.dada Zay B pichani nimejikuta mwenye masikitiko mengi sana. Kwanza...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
RAPA Birdman na aliyekuwa mchumba wake, Ton Braxton, mahusiano yao yamefikia tamati mwishoni mwa mwaka 2018 na mwanzoni mwa 2019. Siku ya mwaka mpya tarehe moja, rapa huyo aliweka video...
1 Reactions
17 Replies
4K Views
Mtangazaji wa kipindi cha shilawadu kinachorushwa na clouds tv Soudy brown ameonekana kutafuta bifu na WCB hasahasa diamond platnumz.... maana kila ambacho wanakifanya lazima akikosoe kwa mafumbo...
0 Reactions
36 Replies
10K Views
Inawezekana wewe hujui utakula nini leo, lakinimwenzako Franck Ribery msukuma ndinga wa timu ya Bayern Munich ameonekana akila nyama iliyopakwa dhahabu (gold coated meat) kwenye mgahawa maarufu...
2 Reactions
38 Replies
5K Views
Bonge la wimbo hata boss wake ameshapotezwa dah aise dogo anajuwa ..
0 Reactions
71 Replies
14K Views
Napenda kusema kuwa nampenda sana Diamond platnumz na nyota wote wa kundi la WASAFI. Pia nawapenda nyota wote wa muziki wa Tanzania wakiwamo Navy Kenzo na Ali Kiba. Nimekuwa nikisikiliza na...
6 Reactions
43 Replies
6K Views
Kader Khan passes away at 81 - Bollywood Hungama
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Wakati kitendo cha msanii Diamond Platnumz kushikwa makalio kikiushangaza umma. Kitendo kingine kilichoishangaza jamii kwenye wasafi festivals ni kitendo cha msanii Lavalava kuchezewa sehemu za...
0 Reactions
34 Replies
5K Views
Kumbe mama yuke mkubwa amber lutty na mwanamke mwenzie mwingine ndie waliehusika moja kwa moja kumtolea dhamana amber lutty na sio yule mchungaji wala mtu mwingine yeyote Jionee hapa Sent...
1 Reactions
7 Replies
8K Views
Anaejua dawa akamsaidie. Kusutwa suna.
1 Reactions
184 Replies
46K Views
2018 ndo imeisha hivyo,tupo 2019 tunaelekea 2020,sasa wewe 'sista duu' endelea kumsubiri mwanaume mrefu ,handsome,mwenye gari ,msomi,mwenye pesa,mweupe,supasataa n.k.Nasema endelea kusubiri...
3 Reactions
21 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…