Hawa ndo maproducer bora TZ kwa mwka 2018 wnastahili pongezi

fundi bishoo

JF-Expert Member
Jun 26, 2018
12,956
22,648
HABARI ZA WEEKEND WAKUU
wakubwa shikamooni na poleni na mihangaiko ya weekend twende kwenye point
kama heading inavyosomeka hapo juu....hawa nitakaowataja naona ndio maproducer(bora) ambao wamepika kazi nzuri sana kwa mwaka huu 2018.....
kuna
(1) S2KEEZY
(2)LIZER MAGIC
(3)ABAH PROCESS
(4)KIMAMBO
(5)RINGTONE
(6)BONGA{yule aloproduce ngoma za lavalava utatulia nitake nini prof jay nk:}
(7)BLAQ
(8)MESEN SELEKTA{ngoma yake ya kinanda ndo imekua kazi nzuri alizoproduce kwa mwaka huu}
(9)MAXMIZER
(10)EMA THE BOI

mr t touch mwaka huu hatoa hit songz kabisa inabidi ajipange kwa kweli vijana wamechachamaa
hapo ni upande je kwa upande wako una maoni gani mdau
 
Umewasahau Yugi on the beat Producer wa Nedy Music, Abbydady na Moko Flavour producer wa Chege kwa sasa.
 
Hawa ndio maproducer wangu Bora wa muda wote.

1- joti

2- masele

3- membe

4-rose muhando

5- dr manyau nyau
 
kizy katisha mwaka huu hana mpinzani biti zake tu hata aimbe kingwendu ngoma ita trend tu
 
Back
Top Bottom