Tuache utani; Mange Kimambi yuko sexy

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,113
27,099
Kwangu mimi ili mwanamke awe sexy kitu cha kwanza lazima awe na tumbo flat. Mange Kimambi is so sexy jamani.

Tutafuteni hela wanaume ili tuweze kumiliki watoto wakali kama hawa coz my experience tells me that wadada wenye flat tummy wengi huwa wapo smart sana na huwezi kutoka nao kama huna hela.

INSHA'ALLAH

45280711_930438154011562_5673818237011924153_n.jpg
45488133_2160951537504080_3137841908381160235_n.jpg
 
kwangu mimi ili mwanamke awe sexy kitu cha kwanza lazima awe na tumbo flat. Mange Kimambi is so sexy jamani. Tutafuteni hela wanaume ili tuweze kumiliki watoto wakali kama hawa coz my experience tells me that wadada wenye flat tummy wengi huwa wapo smart sana na huwezi kutoka nao kama huna hela.
INSHA'ALLAH
Mimi mwisho wa yote naangalia kama chura yupo basi ata kama akiwa na tumbo kama fuko la muokota makopo kwangu twende tu
 
Frati babu ainaishi abaliyamjini chogo babu yani baada yakumaliza mchezo ninaanguka kamaembe kwenye mwembe yani tiin
 
Back
Top Bottom