Habari ndugu zangu wanaJF kwa Majina naitwa Marathon Muziki ni Msanii wa Bongo Fleva Upcoming Artist.
Naomba ushauri wenu kulingana na kazi yangu hii na nyingine nyingi nilizofanya kitu gani...
yeahhh babaaa!!!
Ipo kama ifuatavyo leo nimekutana na gari ya matangazo wakitangaza show ya msanii meseni selekta itakayofanyika mpemba-Tunduma cha ajabu na kusikitisha meseni alikuwa anafuata...
popcaan dun rich ft davido mp3 download, wakati tunaposherekea sikukuu ya krismasi, wasanii wawili wamesherekea pamoja wakatengeneza wimbo mtamu kwa jina dun Rich , davido akishirikiana na...
Nikimuona Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Hamis Juma naiona Sura ya Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta na kila nikimuona Rais Kenyatta hasa Sura yake namwona Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Juma...
Habari za chini chini zinatanabaisha kuwa king kiba yupo kwny michakato ya kanzisha media yake, ambapo ataanza na radio kwanza then ndo TV itafaata.
Namtakia kila la kheri kwenye hili swala hii...
Yani katika vitu vinavyowakosesha amani CLOUDS ni WCB.
Kiukweli tangu fiesta ianzishwe mpaka leo hakuna show mbovu kama show ya jana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yani...
Licha ya watu wachache waliokuwepo kushuhudia show ya alikiba kutokana na show kufayika usiku sana kuna mashabiki walikuwa wanaicheki show kwa simu zao na kuonyesha hisia zao baada ya millard ayo...
Kama mlikuwa hamjui basi sisi wasanii wote tunajua kuwa Basata inatumiwa na Juliana kumsumbua Diamond kwakuwa aliwahi kuzungumza maneno ya kumkashifu hivyo bado ana kinyongo nae.
Mara kadhaa...
Wakuu habari zenu leo nataka tuambiane wasanii ambao kwao mkwanja upo, ambao hawafanyi mziki kwa sababu ya njaa ila wanafanya kutokana na kujijua kuwa wanavipaji
Naanza na hawa
1. Future Jnl...
Habari zilizonifia hivi punde ni kwamba wasanii wote walioshiriki kwenye tamasha la Wasafi awatopigwa nyimbo zao clouds media, hiyo order imetolewa kwa waendesha vipindi vyote mjengoni.
Adhabu...
Franco ‘orphans' struggle to keep his torch burning
By AMOS NGAIRA
The story of Congolese music star Franco, whose 20th death anniversary is being marked from this weekend, is...
Seba Maganga ndio mastermind wa Fiesta na Clouds kwa sasa.
Namshauri atazame upepo ulivyo mbaya maana tumeona show ya After Skul Bash kwa mara ya kwanza imehudhuriwa na watu wachache sana na...
Wasalaam...
Huyu dogo aiseee hizi nyimbo zake daaah sijui kamusi ya mahaba anatolea wapi. Ukisikiliza vizuri mashairi ya nyimbo zake lazima uso wako ujae tabasamu lisilo na unafiki ndani ya...
Ukipita kwenye mitandao unaona waziwazi inawafurahisha watu si kwa sababu kavunja maadili hapana. Ni furaha tu kafungiwa.
Leo inasambaa barua ya BASATA kusisitiza kafungiwa, furaha inazidi...
Kiukweli nimekuwa mfatiliaji wa haya matamasha lakini tuacheni ushabiki wasafi festival ndio tamasha bora kwa mwaka huu hii ni kutokana na A list ya wasanii wanaofanya vizuri mwaka huu kiribia...
sio kama wao ni bora kuzidi wengine hapana,bali ni nidhamu,unyenyekevu na utii wao katika kazi jambo hili ndilo linawafanya CMG wavutiwe sana na vijana hawa kutoka Arusha,wasanii wengine mna cha...
Mpaka Sasa bado wanajiuliza imekuwaje Dar yote Jana kuhamia Togo Fiesta? Kuna ambao walikuwa wameshashauri kuwa ni Bora Tigo Fiesta iahirishwe ili kuficha aibu maana hakuna watu watakoihudhuria...
Kwa mujibu wa Diamond wakati anaongea na vyombo vya habari nchini Kenya amesema BASATA wamewaruhusu kuendelea na show kwa masharti.
Diamond amesema mara baada ya kupigwa pini ambapo ilikua ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.