Ningekuwa Seba Maganga ningesitisha Fiesta ya jumamosi

music mimi

JF-Expert Member
Jun 16, 2013
441
758
Seba Maganga ndio mastermind wa Fiesta na Clouds kwa sasa.

Namshauri atazame upepo ulivyo mbaya maana tumeona show ya After Skul Bash kwa mara ya kwanza imehudhuriwa na watu wachache sana na tunajua crowd ya afterskul bash ndio wahudhuriaji wakubwa wa Fiesta.

Jumamosi inayokuja ndio inafanyika Fiesta dsm, baada ya kuhairishwa pale leaders kutokana na sakata la barua.

Waswahili wanasema heri lawama kuliko fedhea, mkifanya fiesta jumamosi mtavuna fedhea maana kiukweli upepo sio mzuri upande wenu. Mtazidi kuwa-prove right wapinzani wenu kwamba mmekosa mvuto.

Jipeni muda mjitafakari kabla ya kurudi upya maana upepo sio.

Ni ushauri tu!
 
Seba Maganga ndio mastermind wa Fiesta na Clouds kwa sasa.

Namshauri atazame upepo ulivyo mbaya maana tumeona show ya After Skul Bash kwa mara ya kwanza imeudhuliwa na watu wachache sana na tunajua crowd ya afterskul bash ndio waudhuliaji wakubwa wa Fiesta.

Soudy brown sijui ataificha wapi sura yake, subiri

Wasafi wanawaharibia clouds kwa kasi ya 4g, bifu Wanalotengenez clouds dhidi ya wasafi litawaharibia kila kona wait and see
 
Unasitisha Fiesta alafu kesho unalalamika vyuma vimebana: Akili za kuku......
 
Soudy brown sijui ataificha wapi sura yake, subiri

Wasafi wanawaharibia clouds kwa kasi ya 4g, bifu Wanalotengenez clouds dhidi ya wasafi litawaharibia kila kona wait and see
Nafikiri ingekuwa busara wakatulia wakaona gap hipo wapi warudi upya, maana tunaenda shuudia kitu hatujawai ona toka clouds.
 
Seba Maganga ndio mastermind wa Fiesta na Clouds kwa sasa.

Namshauri atazame upepo ulivyo mbaya maana tumeona show ya After Skul Bash kwa mara ya kwanza imeudhuliwa na watu wachache sana na tunajua crowd ya afterskul bash ndio waudhuliaji wakubwa wa Fiesta.

Jumamosi inayokuja ndio inafanyika Fiesta dsm, baada ya kuhairishwa pale leaders kutokana na sakata la barua.

Waswahili wanasema heri lawama kuliko fedhea, mkifanya fiesta jumamosi mtavuna fedhea maana kiukweli upepo sio mzuri upande wenu. Mtazidi kuwa-prove right wapinzani wenu kwamba mmekosa mvuto.

Jipeni muda mjitafakari kabla ya kurudi upya maana upepo sio.

Ni ushauri tu!
Hukuna kitu kama hiko fiesta itafanyika na itasepa na kijiji kama chote nyomi la kufa mtu #Chochea_Chochea.
 
Seba Maganga ndio mastermind wa Fiesta na Clouds kwa sasa.

Namshauri atazame upepo ulivyo mbaya maana tumeona show ya After Skul Bash kwa mara ya kwanza imeudhuliwa na watu wachache sana na tunajua crowd ya afterskul bash ndio waudhuliaji wakubwa wa Fiesta.

Jumamosi inayokuja ndio inafanyika Fiesta dsm, baada ya kuhairishwa pale leaders kutokana na sakata la barua.

Waswahili wanasema heri lawama kuliko fedhea, mkifanya fiesta jumamosi mtavuna fedhea maana kiukweli upepo sio mzuri upande wenu. Mtazidi kuwa-prove right wapinzani wenu kwamba mmekosa mvuto.

Jipeni muda mjitafakari kabla ya kurudi upya maana upepo sio.

Ni ushauri tu!
Are you drunk au stupid,since when vitoto vinavyokua kwnye school bash ndo haohao wanaojaza fiesta.
Huu uandishi nawasiwasi umekaa kichuki
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom