Naomba Ushauri wako juu ya Muziki Wangu

Sep 17, 2018
25
23
Habari ndugu zangu wanaJF kwa Majina naitwa Marathon Muziki ni Msanii wa Bongo Fleva Upcoming Artist.

Naomba ushauri wenu kulingana na kazi yangu hii na nyingine nyingi nilizofanya kitu gani nikifanye ili niweze kufika mbali ,naomba nikuwekee Link ambayo itakupeleka kwenye YouTube Channel yangu kuitazama video yangu yote ambayo ni: ==>

Au unaweza kudownload kipande kidogo kilichopo hapa chini

Naomba nitoe shukrani kwa wale wote ambao watanishauri na kunifollow Instagram account @officialmarathontz

Written by Marathon Muziki
 
Music is business bro!
Licha ya kuwa na uwezo mzuri wa kuandika mashairi na kuimba, lakini pia jambo la KUWEKEZA ni muhimu sana
Unapaswa kuwekeza kwa kiasi kinachoendana na career yako, hasa kweny production na promotion
Watu wanataka muziki mzuri, kuanzia mashairi hadi uzalishaji (hasa kwa msanii anayeanza km ww), hivyo ukijitahidi kuongeza nguvu hapo, naimani utaliona tundu litalokufikisha kanan
Promotion nayo inahitaji nguvu kubwa, iwe ya pesa au watu...maana hakuna atayesikia/kuona wimbo wako pasipo kuona tangazo lake.

Mwisho jenga heshima kwa watu iwe wa mtaani au wana-tasnia wenzako, kuwa na matumizi sahihi ya pesa unayoingiza, mtegemee mungu wako n.k utafikia malengo tu
 
Asante kwa ushauri wako brother
 
Mkuu, unapatikana wapi?
 
Ningekuwa na pesa ningemchukua nimmeneji
 
Mi nakushauri utafute kazi ya maana kwasababu kuimba hujui.
 
Habari ndugu zangu wanaJF kwa Majina naitwa Marathon Muziki ni Msanii wa Bongo Fleva Upcoming Artist.

Naomba ushauri wenu kulingana na kazi yangu hii na nyingine nyingi nilizofanya kitu gani nikifanye ili niweze kufika mbali ,naomba nikuwekee Link ambayo itakupeleka kwenye YouTube Channel yangu kuitazama video yangu yote ambayo ni: ==>

Au unaweza kudownload kipande kidogo kilichopo hapa chini

Naomba nitoe shukrani kwa wale wote ambao watanishauri na kunifollow Instagram account @officialmarathontz

Written by Marathon Muziki

Unajuaaa kaza buti 👏👏👏👏
 
Back
Top Bottom