Kwanza Nilikua najiuliza huyu dogo mambo yote ya hovyo anafanya na kusamehewa lakini bado mnambeba tu?
Mbona wasanii wengine hawafanyi ujinga kuanzia maisha halisi hadi kwenye mitandao ya kijamii...
Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) limetangaza kumfungia msanii Diamond Platnumz na mwenzake Rayvanny kufanya maonesho yoyote ndani au nje ya nchi kwa muda usiofahamika. Si hivyo tu, bali pia...
Huyu dada baada ya kuingia kwenye siasa za majungu za UVCCM, wananchi kwa umoja wao waliamua kuachana na bidhaa zake za " KIDOTI " zikiwemo rasta na mawigi , kwa wakati ule haikumgusa sana kwa...
Jamani eeeeh...kelele.nyingi za Diamond na watu mtandaoni zimenifanya niweke hiii wazi. Nilikuepo eneo la tukio nikitoka mwanza kwenda dar. Huku nikiwa nimebook fastjet..ndege haikufika. Diamond...
Waziri wa Mambo ya Ndani Bw. Lawrence Masha anatuhumiwa kuendeleza vitendo vya ufuska na kudaiwa kutumia nafasi yake ya Uwaziri kuhudumia hawala yake huyo kwa muda mrefu sasa. Hata hivyo...
The punishment which has been imposed upon WCB is too big (huge or severe) than both the offence which they did and its magnitude.
Way forward?....
My legal opinions (observation) are as...
Habari ndugu na wadau mbalimbali wapenda burudani,
Ebu tueleweshane maana mambo yanaenda tofauti kwa msanii Nasibu na Basata.
Basata wametoa tamko la kutofanyika kwa tamasha la Wasafi Festival...
kumuendekeza eti analipa kodi kaajiri watu hata kina amber ruty tuwape nafasi na kucheza picha za matusi watachangia kodi kubwa sana na ajira pia
hii vipande vinawafaa sana wale wabunge kucheza...
Ni zaidi ya mwaka sasa nipo kwenye utafiti wa gharama na soko la body spray za wadada ambazo kwa wazo langu zitakua unique na very adore,wakati naenda kutafuta kampuni ambayo wataweza kunifanyia...
Ni ajabu na ajabu kweli.
Sheria za uwanja wa ndege wowote ni pamoja na kutofanya fujo na kudivert attention kwenye uwanja wa ndege.
Diamond jana amefanya fujo ikiwa ni pamona na kurekodi video...
Katika vitu ambavyo alifeli Diamond ni kwenda huu mkoa uliojaa washirikina ,watu wenye vijicho na wasiopenda maendeleo ya watu.
Tangu Diamond aende Sumbawanga amekuwa mtu mwenye mikosi tele kila...
Nyimbo bora 11 za bongo flava mwaka wa 2018 .Zilizofanya vizuri na ambazo ni bora kwa maoni yangu binafsi.
1.nibebe aslay
2.Harmonize ft Diamond Platnumz – Kwa Ngwaru
3.nedy music one and only...
Wanajamvi salaam!
Kulikuwa na mkakati wa kuwagawia wasanii Viwanja Mkuranga Mkoani Pwani ambako kulikuwa kumeanzishwa kijiji cha wasanii uliokuwa ukiratibiwa na SHIWATA hivi huu mkakati uliishia...
Kama inavyofahamika kwamba hivi karibuni baraza la sanaa Tanzania (BASATA) liliufungia wimbo wa "Mwanza" ulioimbwa na mwanamuziki Diamond kutokana na maneno ya matusi aliyoyangiza makusudi kwenye...
Kama yale yalokuwa yakiongelewa sana kuhusu anguko la cloudss yanaanza kutokea taratiibuuu....
Hii inatokana na gepu kubwa la subscribers huko Utube licha ya kuwa clouds media ilianza kitambo na...
Kumekuwa na ukame wa Tuzo za mziki Africa hapa bongo. Na hii imetokana na kutokupiga kampeni za kutosha kuwapigia kura wasanii wetu. Sasa kuanzia leo tunaamua kuleta bongo kila tuzo za Africa na...
Sikatai Joti yuko after Mpunga na ni kwa Faida na masirahi yake ni jambo lililo jema kabisa. Juu ya uwezo wake Wa kuigiza sina Mashaka he is a special celebrity hapa Bongo.
Kuhusu cc watu wazima...
Jana kulizuka sintofahamu kutokana na Clip iliyomuonyesha afisa wa uwanja wa ndege mwanza kuwazuia Diamond na crew yake kuingia uwanjani hapo kwa madai kuwa wamechelewa na tiketi zao kuuzwa,clip...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.