Rose Muhando kusilimu

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,106
27,086
me_400x400.jpg

Rose Mhando amesema hana furaha katika maisha ya Ukristo tofauti na alivyokuwa akielezwa wakati akihubiriwa kuokoka. Pia Rose aliwaponda baadhi ya wachungaji kwa kumhukumu kwa maneno ya walimwengu bila kutumia hekima za kidini.

"Wakati nahubiriwa kuokoka, niliambiwa nitakutana na upendo lakini matokeo yake nimekuwa mtu wa ‘kupigwa mashuti’ tu. Mfano, mtu anakualika kwenye tamasha, kwa bahati mbaya unashindwa kufika na unampa taarifa lakini kesho yake unasikia umetapeli, wameshindwa kuona hata jema moja kwangu? Nafikiria kurudi kwenye dini yangu, naamini nitapata faraja,” alisema Rose. Source: GPL

Una lipi la kumwambia Rose katika hilo?
 
hata mwaka 2016 alisema hivi hivi, lakini bado tunamuona makanisani hadi leo 3 years down the line.

gospel inalipa usipime. labda nako kule akabuni "gospel" ya kaswida - who knows....
 
me_400x400.jpg

Rose Mhando amesema hana furaha katika maisha ya Ukristo tofauti na alivyokuwa akielezwa wakati akihubiriwa kuokoka. Pia Rose aliwaponda baadhi ya wachungaji kwa kumhukumu kwa maneno ya walimwengu bila kutumia hekima za kidini.

"Wakati nahubiriwa kuokoka, niliambiwa nitakutana na upendo lakini matokeo yake nimekuwa mtu wa ‘kupigwa mashuti’ tu. Mfano, mtu anakualika kwenye tamasha, kwa bahati mbaya unashindwa kufika na unampa taarifa lakini kesho yake unasikia umetapeli, wameshindwa kuona hata jema moja kwangu? Nafikiria kurudi kwenye dini yangu, naamini nitapata faraja,” alisema Rose. Source: GPL

Una lipi la kumwambia Rose katika hilo?
hii habari sio kweli hayo maneno yaliongelewa miaka kama minne imepita vile sasa wewe umayarudia now mbona yupo tu
 
Kweli ya Mungu haipo ndani yake,kama kweli ameijua sio rahisi kurudi nyuma maana kweli siku zote inamweka huru mtu na anaangaza Yeye ameshakuwa nuru sasa!
 
Katika Dini ya kiislam murtadi(alietoka) Hukmu yake ni kifo.Kwa mantiki hiyo huyu hukmu yake ni kifo.Akitubia ni sawa lakini ili aipate pepo basi kosa hili la msingi kwanza atiwe upanga.
 
Rose unapewa pesa in advance mamilioni halafu hatokei Kwa Sababu zozote ziwazo cha ajabu pesa harudishi alizopewa anataka aonyweshwe upendo gani zaidi ya yeye kurudisha pesa zote alizochukua in advance asiporudisha akaambiwa tapeli unajitia wakristo hawana upendo!!!!!!!!! Iko haja akiomba advance aweke dhamana iwe hati ya nyumba gari nk kuwa in case hajatokea Mali zake zipigwe mnada
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom