Daktari: Koo la Ommy Dimpoz linaendelea kutoa usaha

Lord Diplock MR

JF-Expert Member
Mar 16, 2015
1,393
3,234
Daktari wa Ommy Dimpoz amesema koo la Ommy Dimpoz bado linaendelea kutoa usaha tofauti na ilivyotegemewa. Siku ya leo Ommy Dimpoz alikwenda hospitali kwa ajili ya kutoa mrija aliowekewa lakini baada ya kumchunguza Daktari amekuta bado anatoa usaha hivyo watasubiri mpaka wiki ijayo ili wamtazamie zaidi

Awali ilikuwa kama angetolewa mrija leo basi angeruhusiwa kuondoka South Africa.

Aidha Daktari huyo ameeleza kuwa Ommy Dimpoz alikunywa kinywaji chenye sumu na sumu hiyo inaweza kuwa Alkaline au Acid

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ok , sawa daktari nashukuru kwa taarifa asante.
 
kuna mtu anaitwa hamissa alisema jamaa ndo alikuwa wa kwanza kuonja Mofaya...
 
Mungu amjaalie kwa kweli maana maradhi ni mtihani mkubwa kwa kweli.

Sent from my iPhone using JamiiForums
Mungu atamjaalia heri atapona inshaalah!
Mungu Hamjalie afya njema

Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu akujalie afya njema Ommy

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini alimwacha akapata hilo tatizo wakati alikua na uwezo wakulizuia?
Mimi naona mnampa sifa za bure tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom