Sina maneno mengi ya kusema ila kwa ulicho nacho na ulichokianesha Jana SZIFF trust me bado namtafuta anaekukaribia
Japo kuna watu hapa watapinga. Ila ukweli ni kuwa umenyoosha yale mapungufu...
Najua wengi mwaijua bendi hii kitambo kile ilisheheni watu wa kazi kama Jb mpiana werason ngiama makanda aime buangwa toto karonji buleise bula alein makaba alien mpela Mali pool didie masera...
Mwanamuziki wa R&B .R.kelly Amekamatwa hapo juzi Usiku .baada ya mahakama ya Chicago Kutoa Amri Ya kukamatwa kwake kufuatia ushahidi Mpya .kuhusiana na madai Aliwadhulumu kimapenzi watoto wa tats(...
Wakuu tumalizeni utata, kati ya hawa wawili Mzee wa bwax na Dulla Makabila nani anajua zaidi kuliko mwenzake????
Mzee wa bwax anatamba na bakola zake kama Kupenda penda kubaya, Unaringa nini...
Marekebisho kichwa cha habari
Dar kila mtanashati ni shoga ,ukipata hela unauza unga
Sikatai zama hizi haya mambo sijui kama yameongezeka ila nadhani teknologia imekuwa sana kiasi cha kuwa...
Tatizo kubwa King anapenda sana kupiga mapichapicha ya local mara matreni mara uswahilini nk. Ni sawa King tunakupenda zaidi ya pacha wako but huu ulocal unatutia simanzi
Sent using Jamii Forums...
Hii Ni kwa mujibu wa mzazi mwenzie aliezaa nae watoto 2 Zari Hassan maarufu Kama Zari the bosslady
Kupitia comment akimjibu shabiki Zari amesema amekuwa akilea watoto wake mwenyewe peke yake
Je...
Msanii wa gospel nchini kathbert mwindi kaliambia jarida la Wandani tv kuwa toka aokoke ameanza kuona mabadiliko ya kiroho na maisha pia,, nimeamua kumtumikia yesu kutoka moyoni, sasa nakesho...
MAISHA kweli hayana usawa! Mtoto wa mwanamitindo Kim Kardashian, North West ametengeneza ‘headlines’ kibao mitandaoni baada ya kupata rafiki wa kiume. North West (5), amepata rafiki huyo wa kiume...
Paka aliyekuwa akimilikiwa na mkongwe wa mitindo Duniani marehemu Karl Lagerfeld ndie atakayerithi utajiri wote wa mkongwe huyo.
Marehemu Karl Lagerfeld akiwa na Paka wake.
Paka huyo...
Duh , hamisa naona kaanza kuiva, mwanzo nilikua simuelewi kabisa , Ila hii single yake mpya ya SAWA mmmh nandy na rubby wajipange, bidada anakuja vizuri, wasim understimate kabisa , hii nyimbo...
Hakuna mtu yoyote ambaye hajaguswa na kifo cha Mzee Nelson Mandela kutokana na historia ya pekee aliyoiacha kiongozi huyu wa Afrika Kusini.
Kuanzia mataifa ya Asia,Ulaya,Marekani...
Huyu mzee kwa kipindi kirefu amekuwa akiteseka sana kutokana na makosa yake yeye mwenyewe ambayo aliwahi kuyafanya huko nyuma, mzee amekuwa akihitaji msaada wa Diamond kila kukicha bila mafanikio...
Kama harakati zinavyoendelea uko Clouds TV,
Wanavyofanya mahojiano na Watu maarufu kama,
Majizo
Zamaradi Mketema,
Wanaofuatwa ningependa waende akina Diamond Platnumz(Au D.P akazungumze uko Wasafi...
Mkongwe wa muziki wa RnB nchini Marekani, R.kelly amejisalimisha mwenyewe katika kituo cha polisi mjini Chicago baada ya kushtakiwa kwa tuhuma kadhaa dhidi yake.
Staa huyo ambaye jina lake kamili...
Rochelle Washington mkono wa kulia na Latresa Scaff mkono wa kushoto wakiwakilishwa na wakili wao Gloria Allred.
Wanawake wengine wawili wamejitokeza na madai ya unyanyasaji wa kingono dhidi ya...
Founder na CEO wa E-FM na TV E,Dj Majay aka Majizzo February 20 atakua katika kipindi cha asubuhi kinachoitwa Clouds360 kikiongozwa na Babie Kabae,Sam Sasali pamoja na Hassan Ngoma ndani ya Clouds...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.