Majizzo Ndani ya Clouds360 on Clouds Tv February 20

princemikazo

JF-Expert Member
Jan 10, 2019
2,217
2,000
Founder na CEO wa E-FM na TV E,Dj Majay aka Majizzo February 20 atakua katika kipindi cha asubuhi kinachoitwa Clouds360 kikiongozwa na Babie Kabae,Sam Sasali pamoja na Hassan Ngoma ndani ya Clouds Tv,,Swali je.
.anaenda kuzungumzia nini?kama unajua jibu kaa nalo, @ChaliiYaKijengeJuu.
 

Attachments

Top Bottom