Diamond adaiwa kutelekeza watoto wake

brave one

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
4,876
7,366
Hii Ni kwa mujibu wa mzazi mwenzie aliezaa nae watoto 2 Zari Hassan maarufu Kama Zari the bosslady
Kupitia comment akimjibu shabiki Zari amesema amekuwa akilea watoto wake mwenyewe peke yake
Je kweli diamond platnumz pamoja na kusemekana ndio msanii tajiri zaidi Tanzania kweli kashindwa kuwapa malezi watoto wake?
Diamond amekuwa akiandamwa kwenye mitandao kufuatia sakata la baba yake
Screenshot_20190223-092712~2.jpeg
Screenshot_20190223-095426~2.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii Ni kwa mujibu wa mzazi mwenzie aliezaa nae watoto 2 Zari Hassan maarufu Kama Zari the bosslady
Kupitia comment akimjibu shabiki Zari amesema amekuwa akilea watoto wake mwenyewe peke yake
Je kweli diamond platnumz pamoja na kusemekana ndio msanii tajiri zaidi Tanzania kweli kashindwa kuwapa malezi watoto wake?
Diamond amekuwa akiandamwa kwenye mitandao kufuatia sakata la baba yake
View attachment 1029860View attachment 1029861

Sent using Jamii Forums mobile app
Ishu za mahusiano ya wawili na malezi ya watoto wao vema kuwaachia wenyewe

Jr
 
Sio attention Seeker maana kama maisha anayo...Mafanikio anayoo..!! Sasa attention for what.. Kacomment tu kuonesha Domo anachomfanyia baba ake sio sawa maana hata yeye Katelekeza watoto now...

Sent using Jamii Forums mobile app
Ungekua umewahi kukaa na Zari hata kwa nusu saa ndio ungeelewa ni mtu wa aina gani,
again that woman ni ATTENTION SEEKER,

Halafu wabongo ndio mnampa kiburi huyu eti ana mafanikio kibao kwanini sasa kutwa yupo kwenye social media kugombana na wenye shida?
 
Wew ushawahi kukaa nae??? Kama unaona Zari hana mafanikio wewe ni Hater mkuu... Pambana na hali tu ilaa jua yule mwanamke Jeuri anayo sababu pesa anayoo....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom