Kathbert: Gospel yanipa utajiri

Wandani tv

Member
Feb 22, 2019
7
45
Msanii wa gospel nchini kathbert mwindi kaliambia jarida la Wandani tv kuwa toka aokoke ameanza kuona mabadiliko ya kiroho na maisha pia,, nimeamua kumtumikia yesu kutoka moyoni, sasa nakesho kunabaadhi ya wasanii wa music wa kidunia nawashanga sana kuto niamini,najuafika itawauwia ugum kuniamini sababu nilipokua ilikuwa ngum kutoka ila nimeamini kwayesu hakuna kinacho shindikana,Nina album ya gospel nakwenda kuiachia ivi karibuni ila kwasasa nitatoa 3 mfululizo kabla ya uzinduzi wangu, nanyie ambao hamjaokoka njooni kwa yesu hakika kunaraha, ayokayazungumza kathbert mwindi.
FB_IMG_15507716014763920.jpg
 

King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
37,572
2,000
Msanii wa gospel nchini kathbert mwindi kaliambia jarida la Wandani tv kuwa toka aokoke ameanza kuona mabadiliko ya kiroho na maisha pia,, nimeamua kumtumikia yesu kutoka moyoni, sasa nakesho kunabaadhi ya wasanii wa music wa kidunia nawashanga sana kuto niamini,najuafika itawauwia ugum kuniamini sababu nilipokua ilikuwa ngum kutoka ila nimeamini kwayesu hakuna kinacho shindikana,Nina album ya gospel nakwenda kuiachia ivi karibuni ila kwasasa nitatoa 3 mfululizo kabla ya uzinduzi wangu, nanyie ambao hamjaokoka njooni kwa yesu hakika kunaraha, ayokayazungumza kathbert mwindi. View attachment 1030865
Kweli hata muonekano anaonekana AMETAJIRIKA.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom