Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Yes, ni Elizabeth Michael ‘Lulu’ na Ali Saleh Kiba ‘Ali Kiba’ mapenzini, enzi na enzi! Mnakumbuka wakati msiba wa Kanumba unatokea kulisemekana kutokea ugomvi uliopelekea Lulu kumsukuma Kanumba...
87 Reactions
798 Replies
73K Views
Inasemekana ni tajiri Lakini mbona hajakaa kama tajiri, kuchekacheka hovyo, kushinda na mateja muda wote, nguo habadilishi. Yani sioni kama kuna tajiri pale, labda mniambie yeye ni msimamizi tu...
6 Reactions
51 Replies
3K Views
Tukiachana na ushabiki Diamond siku hizi kaishiwa kabisa no ubunifu yaan ukisikiliza nyimbo anazotoa siku izi na zile za kitambo kuna utofauti mkubwa mno coz siku izi anatoa nyimbo mbovu sana na...
6 Reactions
154 Replies
29K Views
Wakuu, Kuna uzi nilianzisha humu kuhusu wasanii wa Tanzania kutosainiwa na lebo za kimataifa Hoja ya Mdau iko hapa ~ Ayra Starr amesainiwa Roc Nation. Tanzania tunafeli wapi wasanii wetu...
10 Reactions
52 Replies
4K Views
Bwana juzi nimekaa zangu home, nikawa nasikiliza zile nyimbo za zamani za Aslay akiwa dogo. Nikaplay wimbo wake "Niwe Nawe", halafu ghafla nikasema, “Subiri kidogo… hii sauti mbona kama najua?”...
3 Reactions
16 Replies
795 Views
Habari za wakati huu wadau wa JamiiForums, Kumekuwa na gumzo kubwa mitandaoni kuhusu mtu anayejulikana kwa jina la MX Carter. Inaonekana kuwa jina hili limehusishwa sana na masuala ya usambazaji...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Wakuu, Huko Nigeria sasa hivi ni shangwe na vigelegele tu maana kuna msanii wao wa kuitwa Ayra Starr amemwaga wino kwenye kampuni iliyoanzishwa na JAY Z ya kuitwa Roc Nation. Nilichopenda ni...
2 Reactions
34 Replies
2K Views
Mwanaharakati maarufu katika mitandao ya kijamii aishiye Marekani, Mange Kimambi na nyota wa muziki wa kizazi kipya nchini Isihaka Nassoro maarufu Aslay, wamefunguliwa kesi ya madai kortini...
4 Reactions
47 Replies
4K Views
Dogo paten ni msanii wa singeli aliyebahatika kutengeneza hitsong moja ya Afande. Kwa kuwa ni msanii average haitotokea atoe hitsong nyingine bahati uwa haitokei mara mbili. Nachoshangaa sababu...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Mwimbaji wa muziki wa injili, Goodluck Gozbert amedai kuwa kuna watu walitumwa kuondoa uhai wake baada ya tukio la kuchoma gari alilopewa zawadi na kiongozi wa Kanisa la Ngurumo ya Upako, Nabii...
2 Reactions
29 Replies
2K Views
Naangalia hapa Clouds TV mubashara wanaonesha birthday ya mtoto wa Omari na Paula (Amarah) naona dogo Paten anatumbuiza na kutunzwa minoti ya kwenda. Kimasihara sana dogo naona ametoboa, atumie...
6 Reactions
31 Replies
2K Views
Walimbwende Suchaata ambaye ni Miss World pamoja na Miss World Africa Hasset Dereje wakiongozwa na mwanamitindo Mustafa kwa kushirikiana na taasisi ya Doris Mollel Foundation, wametembelea wodi...
3 Reactions
7 Replies
744 Views
Maskini hasaidiki kwa kweli, yani huyu Nuhu mziwanda alivyokuwa ana jiliza dms za wasanii wenzake mfano Diamond, Alikiba, Marioo, Rayvan,Harmonize nk na wote kumfungia vioo ,Chino akajitokeza...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Msanii Mrisho Mpoto amekasirishwa na watu wanamtukana marehemu mke wake sababu za itikadi za chama chake
13 Reactions
82 Replies
5K Views
Huwa sipendelei kuchunguza maisha ya watu lakini hapa kuna kitu cha kujifunza kidogo hasa kisheria hii ni kutokana na hawa jamaa wawili walio jitoa fahamu. Kwangu huwa nawaona kama moja ya...
4 Reactions
28 Replies
2K Views
Wanamwita manju wa muziki. Huyu ni mtangazaji mkongwe na nguli wa maswala ya muziki na wanamziki, kupitia TBC. Ukimsikiliza Masoud, utaelewa umuhimu wa specialization katika utangazaji, uandaaji...
43 Reactions
164 Replies
45K Views
Huyu msanii anaitwa Nuh Mziwanda namfahamu mama yake ni MTU wa dini. Kama familia mnaweza mpeleka kwenye kituo cha matibabu ya akili na vilevi (Sober rehabilitation) Tofauti na hapo either...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Connie Francis, nyota wa muziki wa pop aliyejizolea umaarufu miaka ya 1950 na 1960 kwa nyimbo kama “Pretty Little Baby”, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 87 Taarifa za kifo chake zimetolewa...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
. Msanii maarufu wa muziki wa asili nchini Tanzania, Mrisho Mpoto, amepatwa na msiba mzito baada ya mke wake kufariki dunia mapema leo kufuatia kuugua kwa muda mrefu. Kwa mujibu wa taarifa...
6 Reactions
75 Replies
5K Views
Kwa sasa umedrop kimuziki unatoa video haingii number one trending.
1 Reactions
14 Replies
977 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…