Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

1. Mheshimiwa Haji Manara amepata shavu la usemaji wa klabu ya PSV Eindhoven. 2. Mipango ya vibali vya kazi na viza vikikamilika yeye pamoja na familia watatimkia huko ng'ambo tayari kwa kazi. ya...
2 Reactions
34 Replies
3K Views
Ile kuwapiga wasanii na kuwafanya kuchanganikiwa na mwisho kuishia katika Madawa Leo mtazame mtoto wake Miaka 34 Ila hana Ramani ameishia kupiga nyimbo Bar Kama DJ...
5 Reactions
67 Replies
6K Views
Daah! Miaka ya elfu mbili muziki ulitendewa haki kweli jamani. Cheki list ya vipaji hivyo – yaani mtaani kulikuwa hakupoi: Juma Nature Q Chillah Ferouz Lady Jay Dee Professor Jay Ngwear Jay Moe...
50 Reactions
239 Replies
8K Views
Zipo tuhuma zinazolikabili kundi la muziki nchini linalopendwa na wakubwa pamoja na watoto na ndiyo kundi linalotumiwa hata kwenye kampeni za kisiasa. Kwenye kundi hili kuna watu wa ajabu...
23 Reactions
230 Replies
18K Views
Aliyekuwa muigizaji wa Tamthilia ya JUAKALI maarufu kama Kitundu amefariki dunia jioni ya Leo, Juni 24. Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na @lamataleah ambaye ni muongozaji wa Tamthilia hiyo...
6 Reactions
36 Replies
4K Views
Mwimbaji Staa wa Bongo Fleva Rajabu Adbul Kahali maarufu Harmonize ametangaza rasmi dhamira yake ya kwenda kugombea Ubunge wa Jimbo la Tandahimba Mkoani Mtwara ambako ndio alikozaliwa...
2 Reactions
63 Replies
4K Views
Inamaanisha kuwa chawa wa CCM ndio kunampa ruhusa ya kudhalilisha watu atakavyo. Japo kwa Tanzania kila kitu kinachukuliwa poa, ila kuwepo na ukomo wa udhalilishaji. Mwijaku amevuka mipaka ya...
1 Reactions
34 Replies
2K Views
Wakuu, Hivi Tayla ana bahati au kismati cha aina gani? Siku ya jana msanii kutoka Afrika Kusini Tyla aliweka historia ya kuwa mwafirika wa kwanza kushinda kipnegele cha “Favorite Global Music...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Gauo - Magic System: The Best Break-Up Song Unayoweza Kucheza Club 🎶💔 Kwa kawaida, nyimbo za break-up huwa za huzuni, zenye tempo ya chini, na zinakufanya utafakari zaidi maumivu ya mapenzi...
0 Reactions
5 Replies
566 Views
Mboso Khan mshedede Chino Mario King Kiba Jay Melody Recently kwa mtizamo wangu Kazi zinawabeba....Hongera kwa simba ila nguvu anayotumia ni kubwa mno sii kitu kibaya as zinampush...
2 Reactions
1 Replies
484 Views
Super Mega Star, Diamond Platnumz, akiwa kwenye mahojiano huko Ughaibuni (Uingereza) amesema kuwa yeye ndiye msanii pekee barani Afrika anayeweza kufanya aina zote za muziki kutoka katika kila...
8 Reactions
51 Replies
3K Views
Kwa taarifa zilizorushwa na kituo cha redio Clouds FM ni kwamba mwanamuziki Albert Mangwea amefariki dunia akiwa south Africa. Taarifa zaidi zitafuatia. ------ Albert Mangwea maarufu kama...
3 Reactions
441 Replies
91K Views
Watanzania wafarijika baada ya kuona muonekano mpya wa chid benzi, you know what? GOD DID. Msanii mkongwe wa muziki wa Bongo Fleva, Chid Benz, aliyewahi kuwa mraibu wa dawa za kulevya...
27 Reactions
70 Replies
4K Views
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Gigy Money, uongozi wa msanii Gigy Money umeeleza kuwa msanii huyo anaumwa na anahitaji maombi kutoka kwa mashabiki wake. Taarifa hiyo imekanusha uvumi kuwa...
11 Reactions
199 Replies
14K Views
KFC ni kifupi cha Kentucky Fried Chicken, mgahawa maarufu duniani kwa kuuza kuku wa kukaanga. Historia yake inaanzia kwa mtu mmoja aitwaye Harland Sanders, ambaye alizaliwa mwaka 1890 huko...
3 Reactions
1 Replies
506 Views
Upande wa Mashtaka Wamaliza Kuwasilisha Ushahidi Baada ya wiki sita za usikilizwaji na mashahidi 34 wakitoa ushahidi (akiwemo Cassie Ventura), upande wa mashtaka umemaliza kutoa ushahidi wake...
3 Reactions
2 Replies
495 Views
Kufikia 24 Juni 2025, baada ya kusikiliza ushahidi kwa zaidi ya wiki saba na mashahidi 34, upande wa mashtaka na ule wa utetezi wamefunga kesi zao rasmi. Kilichowashangaza wengi ni kwamba upande...
1 Reactions
2 Replies
553 Views
Msanii kutokea Tanzania Diamond Platnumz amepewa tuzo maalum na Youtube kwa kufikisha subscribers Milioni kwenye ukurasa wake wa Youtube Hongera zake na kaimprove kuongea kingereza
3 Reactions
7 Replies
740 Views
Katika hatua ya kushangaza, upande wa utetezi katika kesi ya sex trafficking inayomkabili msanii maarufu Sean “Diddy” Combs umemaliza kutoa hoja zake bila kumuita shahidi yeyote mahakamani. Hii...
0 Reactions
0 Replies
361 Views
Get rich or die trying Baada Yakuonyeshwa Stoo Ya Magari Juzi Na Bilionea Lugumi nae kijana mdogo anaekuja kwa kasi ya kutisha kwenye utajiri Chief Godlove Kapata Hasira na kuamua kuvuta gari...
24 Reactions
87 Replies
13K Views
Back
Top Bottom