Wadau kifupi mie nimfuatiliaji wa matukio ya hapa nchini, na mojawapo ya tukio nililolitazama ni hili la TOKOMEZA ZIRO - lililoandaliwa na Mhe . JoKate.
Suala ni kwamba , Muheshimiwa ambaye ni...
Fahamu kwamba video queen wa wimbo wa kwanza wa Diamond platnumz alikuwa dada yake Esma Platnumz, kwanini Esma?
Ni kwamba wadada ambao aliwaalika Diamond kufanya hiyo scene hawakutokea kutokana...
Unapokuwa na cheo kama cha mkuu wa mkoa jaribu kujiheshimu hata kama una moyo mweusi na umezaliwa na chuki moyoni mwako
unapochanganya mambo ya wasafi vs ali kiba kumu attack mtu ambaye hana...
Napenda sana kusikiliza East Africa Radio (EA radio) Super Mix, Kipenga Extra na East Africa Drive (Ndinga mpya Town). Vipindi hivi vitatu huwa nikipata muda navisikiliza maana watangazaji...
Jana nlkwa nikicheki movie moja ya kanumba FAMILY TEARS basi humo nikamuona Tena Richard benzouidenhout..ambae alikwa mshindi wa big br 2006..
Huyu mwamba amepotea Sana. Wadau hv Yuko Wap huyu...
Kila wimbo mnaotoa kwa sasa mnasifu tendo la ndoa, bora hata mngekuwa mnaimba issues zingine za mapenzi hapo sawa. Yani hata huu wimbo mpya wa dada yetu Queendarleen ni mrengo uleule, tena kaamua...
Piere Konki Liquid kuna uwezekano mkubwa akawa sio mzima huyu.
Hivi inawezekana kweli mwanaume rijali ukawa na miaka 42 huna mke, demu wala mchumba, hata wale wanawake wanaojiuza hujawahi...
Siku ya 22 katika mwezi wa July mwaka 1992 maeneo ya Grand Prairie katika jimbo la Texas nchini Marekani binti mwenye umri wa miaka 16 aliyejulikana kwa jina la Amanda Dawn Cornet anafanikiwa...
Nani ana namba ya Hamissa Mobetto au mama Dylan kama anavyoitwa na Nasib Abdul, mpigieni mwambie tunajua maisha ya mtanzania yamekuwa magumu sana sema aache kuvamia kazi za watu.
Maana...
Hasheem Thabeet ni Mtanzania aliyezaliwa tarehe 16 February 1987. Ni mchezaji wa mpira wa kikapu ambaye ni hazina kwa Taifa letu. Licha ya muda wake mwingi kuutumia nchini Marekani katika timu ya...
Akiongea na tv fulani ya youtube Chidi alisema maneno haya machache, " muziki wa sasa umekuwa ni kitu cha hatari, ni either unakuwa Wasafi au unakuwa Wachafu. La sivyo utamalizwa".
Ni maneno...
Msanii nyota wa bongo fleva diamond platnumz ameajikuta akitukanana na mrembo lyyn Ni video vixen
Diamond amemtuhumu mrembo huyo kutaka kuwatenganisha na mpenzi wake tanasha, daimond amepost...
Jiwe walilolikataa waashi sasa linakua jiwe kuu la taifa,hongera vijana kwa kuipamba furaha ya nchi na kusindikiza ushindi wa safari ya AFCON.....picha inajieleza zaidi.
Habari za jioni wanajamii forum,ivi tofauti kati ya Celebrity na Superstar ni ipi? na kipi ni kigezo cha kumpa mtu ucelebrity au Usuperstar!..
Na ni kweli bongo kuna hao watu (Celebrity na...
Wanabodi,
Kama mlivyoshuhudia commitment ya Mheshimiwa Rais Magufuli kuinua vipaji, kuwasaidia wanamichezo na wasanii hapa nchini, nawashauri Wasanii wetu wajitahidi kuiwakilisha Tanzania vizuri...
Jussie Smollett: Charges dropped against 'Empire' star
Muke ya Muzungu AKA Natalie pita huku. I told you that MO is too smart to involve herself in any reckless decision.
Kiukweli jamani naomba ufunguke....
Please thing twice nani TANZANIA anafaa kuitwa MC naona kila kona watu wanajiita ma MC sijui wanafata vigezo gani..?
Mtangazaji wa kipindi cha XXL cha Clouds FM, Adam Mchomvu ni mmoja kati ya wabunifu wa mavazi wachanga watakaopelekwa na THT nchini China kujifunza zaidi fani hiyo.
Akiongea kweye 255 ya XXL...