Namkubali sana Muigizaji Mwijaku, ila kwa haya aliyoyasema nitamkatalia hadi pumzi yangu ya mwisho duniani

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
40,149
2,000
" Namshukuru Mungu amenipatia mke mwema sana ana sifa zote nilizokuwa nazitaka, hana kasoro kabisa mke wangu " @mwijaku #Clouds360 #CloudsTV

Ninachojua Mimi hata Mwanamke awe Mzuri ( Mrembo ) kiasi gani ila ni lazima tu atakuwa na Kasoro yake tena Kubwa tu sasa Kitendo cha huyu Muigizaji Mwinjaku ambaye nakubali sana Kazi zake kutokana na Kipaji chake Kikubwa cha Uigizaji kusema kuwa Mwanamke aliyenae Yeye ( Mkewe ) hana Kasoro yoyote ile nitambishia hadi pumzi yangu ya mwisho katika Ardhi hii ya Tanzania.

Ombi langu tu kwa Wanaume hata kama tunawapenda Wapenzi wetu / Wake zetu Kiasi gani ila tusijiaminishe sana kuwa hawana Kasoro yoyote kwani Wao siyo Malaika bali ni Binadamu tu kama Binadamu wengine ambao hata Kiumbwaji imeshathibitishwa kuwa hakuna Mwanadamu aliyekamilika sasa iweje Muigizaji Mwinjaku atudanganye Watu wazima hivi kuwa Mkewe ( Mpenziwe ) hana Kasoro yoyote ile?

Naamini Muigizaji Mwinjaku hakumkukuta huyo Mkewe ni Bikira hili kwa mfano leo hii wakijitokeza Wanaume ambao walikuwa na Mahusiano nae huyo Mwanamke wake na wakafunguka mengi zaidi tena hata ya Sirini kabisa ya Kumuhusu Yeye ( Mwinjaku ) atajisikiaje? Je ana Moyo wa Kuhimili ufungukaji wa Watu kuhusu huyo Mwanamke anayemsifia kuwa hana Kasoro yoyote?

Tujadili.
 
mbu wa dengue

JF-Expert Member
Jun 2, 2014
5,672

Mkuu kwa upande mwingine jamaa huyo uliyemwita mwinjaku yupo sahihi na nitakueleza kwa nini yupo sahihi.
Katika mapenzi iko hivi;Mwanamke ambaye Mimi nitamuona mzuri kwako wewe unaweza ukamuona mbaya na unayemuona ww ni mzuri mm naweza kumuona mbaya.
Na mtu anapokuwa na mpenzi aliyempenda kwa dhati hawezi kuona kasoro lkn ukiletewa ww na umthaminishe utamtoa kasoro hata 100.
Kwa hyo kuhusu huyo mwinjaku kusema mkewe Hana kasoro inaweza kuwa kweli kwa upande wake yeye na macho yake ndio yanaona hvyo kwamba Hana kasoro.
Ila hakumaanisha kwamba Hana kasoro kwa kila mtu.
 
ccm mtoto wao

JF-Expert Member
Dec 19, 2018
563
500
Sasa ulitaka aseme kwenye media kwamba mke wake anakasoro ili iweje, kusema mapungufu ya mweza wako mbele za watu ni sawa na kumdhalilisha na huo ndo ungwana kijana
Hili siwezi Kukubaliana nalo tafadhali labda tu kwa wale ambao wameshalishwa Limbwata za Kutosha na zimewakolea hasa.
 
sabosabo

JF-Expert Member
Dec 16, 2012
2,062
2,000
Mbona anayo kasoro yule mwanamke kwanza tako lenyewe hana...ni kimbau mbau halafu jamaa anajisifia sijui tukilala zinalala degree sijui masters usikute ndo masters zile zile za sociology au FPA huko hahahaha...
Alidisco Mzumbe huyo Mwijaku,hamna kitu mbwembwe tu!
 
Ruttashobolwa

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
47,929
2,000
Sijapata kuona mtu chakubimbi,kiherehere kama mwijaku........jamaa ana mdomo mrefu kama makamanda................
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom