Mnataka nyimbo za kuelimisha au mnataka burudani?

herman joshua

JF-Expert Member
Dec 30, 2018
1,962
3,189
Inaonekana watanzania wengi mnapenda kujifunza lakini ni uongo umetujaa tu.

Mara nyingi unapotokea ubishani hususan katika masuala ya kimziki haswa kati ya team Diamond na team Kiba utasikia Diamond si mwanamuziki bora kwani anaimba matusi na nyimbo zake hazielimishi jamii.

Jamani kwani huu mziki wewe unausikiliza kwa ajili ya burudani au kuelimika? Na kama hiyo elimu umeshindwa kuipata kanisani/msikitini na hata shule ulikosoma utaipata kwenye mziki kweli?

Poa labda kwako unaona mziki ndo platform nzuri kwa ajili ya kukuelimisha, basi msikilize maalim Nash MC ili upate hiyo elimu. Utasikia “muziki wake hauvutii” still unawapenda hao wabana pua na wanaoimba matusi tukuelewe vipi ndugu yangu?

Acheni unafki wabongo, for me muziki kwangu ni burudani tu we imba uwezavyo tukana uwezavyo ila kwa midundo itayoteka hisia zangu nitakusikiliza.

Wazazi washanifunza mazuri na mabaya
kanisani naenda kujifunza
namfolow Joel Nanauka na mainsperation speaker kibao kwahiyo kila siku najifunza na kila time kwahiyo acha mziki uwe burudani tu kwangu.

Ni hayo tu
 
Kama ameshindwa kuelimisha basi aburudishe sio apotoshe
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom