Pale tunaposema kuwa siku hizi hakuna tena Mapenzi muwe mnatuelewa vyema tafadhalini

Mzukulu

JF-Expert Member
Feb 14, 2020
1,401
2,631
Pale tunaposema kuwa Siku hizi hakuna tena Mapenzi bali kuna Upuuzi, Utoto na Usanii tupu muwe mnatuelewa vyema tafadhalini

Jackline Wolper na mchumba wake wameachana ikiwa hata wiki haijaisha tangu walipovishana pete.

Chanzo: East Africa Televison - News

Wale Team No Kuoa Daima wala Kushoboka na mambo ya Uchumba hapa tunacheka tu huku tukiendelea Kuwakanyagia Viherehere wa Mademu.
 
Problem is you focus on the wrong people.

Look at the upright people.

Young, mature and focused.

Hao mnaowaangalia Ni Nani hasa katika jamii mpaka mnawapa uzito wa kuwashawishi whether to get married or not?
 
Mtoa mada we naye ni popoma tuu wala hujui kuwa hyo ni Kiki , na Kwa taarifa yako wolper amelipwa 2mil kutengeneza hyo Kiki , na hii issue imemboost Sana jamaa upande wa social media na career yake ya designer , jamaa Kwanza ni machine wa kutengeneza suti Kali hapa tz wachache Sana wanaoweza kumkimbiza
 
Kwahiyo speshoz,jm,sheria ngowi wote ni chamtoto kwa chidy
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom