Mtalaka wa Best

Kwenda na wewe.... kiherehere chake cha kwenda mtandaoni ndo kimemfikisha hapo. Alianza kwa kutafuta kiki na zimemtoka puani, sio kila mwanamke ni wa kimdhalilisha tu hovyo akakuchekea. Kakuabishia wewe dada binafsi kanifurahisha next time atajifikiria kabla ya kutoa shombo. Mziki mzuri wenyewe hana kafulia nowdays kabakia kutafutia pa kutokea kupitia mahusiano yaliyokufa.
 
Kwenda na wewe.... kiherehere chake cha kwenda mtandaoni ndo kimemfikisha. Alianza kwa kutafuta kiki na zimemtoka puani, sio kila mwanamke ni wa kimdhalilisha tu hovyo akakuchelea. Kakuabishia wewe dada binafsi kanifurahisha next time atajifikiria kabla ya kutoa shombo. Mziki mzuri wenyewe hana kafulia nowdays kabakia kutafutia pa kutokea kupitia mahusiano yaliyokufa.
Mbona povu hivo au we ndo Lisa ,mziki mzuri hana lakini ndo unamlisha,wakati ule anahangaika na michango kama siyo mabeste leo ungeshazikwa
 
Kwenda na wewe.... kiherehere chake cha kwenda mtandaoni ndo kimemfikisha hapo. Alianza kwa kutafuta kiki na zimemtoka puani, sio kila mwanamke ni wa kimdhalilisha tu hovyo akakuchekea. Kakuabishia wewe dada binafsi kanifurahisha next time atajifikiria kabla ya kutoa shombo. Mziki mzuri wenyewe hana kafulia nowdays kabakia kutafutia pa kutokea kupitia mahusiano yaliyokufa.
Mwanamke
 
Ukisikia Mme Amuua Mke Usishangae sana japo si sawa,

Lisa kamuumiza Mabeste kwa kutembea na rafiki na akamuacha, Anamnyima uhuru wa kuonana na Wanae., Bado anaona haitoshi kambuluza Polisi

Mwenyezi Mungu Ampe Roho ya Uvumilivu Mabeste Kabisa aisee inauma sana
 
Kwenda na wewe.... kiherehere chake cha kwenda mtandaoni ndo kimemfikisha hapo. Alianza kwa kutafuta kiki na zimemtoka puani, sio kila mwanamke ni wa kimdhalilisha tu hovyo akakuchekea. Kakuabishia wewe dada binafsi kanifurahisha next time atajifikiria kabla ya kutoa shombo. Mziki mzuri wenyewe hana kafulia nowdays kabakia kutafutia pa kutokea kupitia mahusiano yaliyokufa.
"Mnanoma Na Mimi Na Mbona Mimi Sijui, Namaisha Nina Ya kwangu Na Mbona yako Sijui".
 
Kwenda na wewe.... kiherehere chake cha kwenda mtandaoni ndo kimemfikisha hapo. Alianza kwa kutafuta kiki na zimemtoka puani, sio kila mwanamke ni wa kimdhalilisha tu hovyo akakuchekea. Kakuabishia wewe dada binafsi kanifurahisha next time atajifikiria kabla ya kutoa shombo. Mziki mzuri wenyewe hana kafulia nowdays kabakia kutafutia pa kutokea kupitia mahusiano yaliyokufa.
Jifunze kukaa kimya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom