Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Nasikia mara kwa mara Zari the boss lady akiitwa Tukinao na team pinzani so nataka kujua lina maana gani na ni nani alilianzisha maana kama linazidi kuwa viral hivi.
5 Reactions
111 Replies
26K Views
Kuhusu kulipia show =========== Jamaa kaona isiwe kesi, Kiki hakuna kaamua kujilipua kwa kununua Airtime ili Akiki siku mbili tatu ==================== Kuhusu performance ya kuwa nzuri...
1 Reactions
268 Replies
27K Views
Haters wa Alikiba Mshumaa=> Hii ngoma si ya kimataifa haiwezmfikisha popote ni ya hapa hapa Dodo=> Ngoma Imepooza Sana mda huu watu wanataka ngoma za kubang So hot, Club banger=>Ngoma mbovu...
7 Reactions
52 Replies
5K Views
Habari wadau wa JF na Bongo fleva, Aliyekuwa mwanamziki wa bongo fleva na komandoo wa JWTZ aliyejulikana kama Masota afariki dunia. Masota alitamba na vibao kadhaa alivyorecord kwa producer...
13 Reactions
149 Replies
55K Views
Mimi sio mpenzi sana wa miziki ya Bongo Flava ya siku hizi kwa sababu beat zake asilimia 90 zimetengenezwa kwa kompyuta. Kipindi nasoma Secondary School tulikuwa na music lessons. Tulifunzwa...
4 Reactions
13 Replies
3K Views
Halo JF celebrities. Nimekuwa nikiona mitandaoni, Zari The Boss Lady akiitwa Bi Tukinao! Wanaomwita hivyo ni wanawake. Sasa hili jina maana yake nini na kwanini kabatizwa hivyo?
0 Reactions
36 Replies
5K Views
Jana nimebahatika kutazama kipindi cha Big Sunday Live kinachoongozwa na Lil Ommy. Nikiri wazi kuwa nimependa show yake, kuanzia ukumbi wamejitahidi sana maana hadi magari bajaji bodaboda zinazama...
13 Reactions
86 Replies
8K Views
Jana mmenikosha Sana kwenye hii show ya big Sunday live kumuona comedian wangu ninayemkubali Sana deogratius wa cheka tu jamaa anajua kuchekesha Sana.Kwa faida ya wale wasiojua kuhusu show ya big...
6 Reactions
76 Replies
7K Views
Kweli bongo land tumejaliwa kua na vipaji vingi sana, na watu wanajua kweli, ndio sababu hata mkuu wa nchi leo wakati anavunja bunge amewapongeza sana wasanii wetu kwa kupeperusha bendera vyema ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Aisee Startv kuna watangazaji kumbe nilikua sijui kabisa Huyu jamaa anaitwa Edwin Odemba kwenye kipindi cha Siasa anajitahidi sana na haegemei upande wowote
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Mcheza filamu asiyechuja bongo , na mwenye mvuto wa aina yake , Elizabeth michael , ameonekana akiwa kwenye kisiwa cha Zanzibar akila bata na marafiki zake na kufurahia maisha .. Mrembo huyo...
4 Reactions
83 Replies
19K Views
  • Closed
Celebrity katika Tasnia yupo mbioni kuagiza Private Jet (kwa matumizi binafsi) na Helikopta (kukodisha). Stay tuned wana-Tabora.
3 Reactions
34 Replies
6K Views
Katika wasanii wenye Uwezo mkubwa wa kujenga hoja zenye maana katika Jamii hivi sasa hapa Tanzania, ni Ibrahim Musa aka Roma Mkatoliki. Kwa Ujasiri na uwezo wako mkubwa kimaono kama kijana...
4 Reactions
24 Replies
5K Views
Tukiwa tunaendelea kushuhudia maandamano ya kupinga ubaguzi wa rangi yaliyotokana na mauaji ya Mmarekani mweusi George Floyd, ni vizuri wakati huu kujadili maswala yanayohusu ubaguzi wa rangi huku...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna wakati niliwahi kusikia serikali imewachukulia hatua watu wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja akiwemo james delicious na amber ruti. Nimeuliza kwa sababu mara nyingi nawakuta hawa watu...
1 Reactions
55 Replies
8K Views
Kennedy sanga maarufu director Kenny moja ya video director wakubwa hapa east Afrika na director namba moja wa Diamond Platnumz Kitaaluma ni fundi umeme.Alianza mambo ya video kama mmoja wa...
12 Reactions
61 Replies
11K Views
1. Paul James Sweya a.k.a PJ, 2. Fredy Fidelis Massawe a.k.a Fredwaa. Walikua wakisikika CLOUDS sijui wako wapi now 3. Samuel Misago alikua akisikika EATV
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mwanamfalme Philip ambaye ni mume wa Malkia wa Uingereza, Elizabeth II kwa zaidi ya miongo 7 anasherehekea miaka yake 99 ya kuzaliwa, leo Juni 10 Philip 'The Duke of Edinburgh' atatumia muda wake...
3 Reactions
60 Replies
8K Views
William’s late mother, Lady Diana Spencer, married Charles, Prince of Wales in 1981 at Westminster Abbey. She then inherited the title, Diana, Princess of Wales – though she was affectionately...
7 Reactions
74 Replies
7K Views
Controversial Twitter bigwig and influencer Artur Mandela aka Xtian Dela has for the first time revealed that he collected more than Ksh5 million from Club Covid. Xtian started Club Covid after...
1 Reactions
0 Replies
901 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…