Wako wapi hawa?

dafity

JF-Expert Member
Aug 16, 2008
1,849
2,036
1. Paul James Sweya a.k.a PJ,
2. Fredy Fidelis Massawe a.k.a Fredwaa. Walikua wakisikika CLOUDS sijui wako wapi now
3. Samuel Misago alikua akisikika EATV
 
1. Paul James Sweya a.k.a PJ,
2. Fredy Fidelis Massawe a.k.a Fredwaa. Walikua wakisikika CLOUDS sijui wako wapi now
3. Samuel Misago alikua akisikika EATV
Paul James siku hizi anaripoti habari za clouds, kuhusu Fredwaa yupo Instagram tuu anaunza sure,Sam Misago ana channel yake You Tube
 
Kingine,jamaa ameshapitwa na wakati mbona kwa siku hizi sio kama yule wa zamani ndio maana clouds hawaja mtetemekea kumrudisha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom