Edward Odemba ni bonge ya mtangazaji

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
4,581
4,631
Aisee Startv kuna watangazaji kumbe nilikua sijui kabisa

Huyu jamaa anaitwa Edwin Odemba kwenye kipindi cha Siasa anajitahidi sana na haegemei upande wowote
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom