Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Kwa mwaka wa pili mfululizo, Dwayne Johnson anayefahamika zaidi kama The Rock ametajwa kuwa Muigizaji anayelipwa zaidi duniani kwa upande wa Wanaume Jarida la Forbes limesema The Rock ameingiza...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Nilivyoambiwa wanawake wa kenya na Uganda wanajua mapenzi na kumcare mwanaume mwenzenu nilibishaga mjue, sasa ndio nimeamini kwa nini kaka zetu hawa wanakimbilia kwa kasi ya 4g kuowa na kuchumbia...
7 Reactions
87 Replies
17K Views
Stori: Imelda Mtema na Erick Evarist BAADA ya kushikiliwa kwa takriban miezi tisa kwa kesi ya madawa ya kulevya ‘unga', hatimaye Video Queen maarufu Bongo, Jacqueline Fitzpatrick Cliff...
1 Reactions
38 Replies
8K Views
Habari zenu wakuu, Poleni na miangaiko ya hapa na pale, kiukweli huyu msanii wenu alikiba almaarufu kama kingkiba the real voice siku hizi naona kabisa uwezo wake wa utunzi umeshuka sana...
5 Reactions
39 Replies
6K Views
Nani anamuelewa Simi kama mimi? Ni msaniii Wa kike kutoka Nigeria. Ana sauti ya kipekee sana. Ukisikia "duduke", " I don't know you well" ni talented mno. Angekuwaa majuu angekuwa level za kina...
11 Reactions
25 Replies
3K Views
Habari Wakuu, Salama Jabir ni miongoni mwa mastaa wa kike wachache waliofanikiwa kujenga heshima hasa kwenye tasnia ya habari na mwenye uwezo mkubwa sana wa kufanya mahojiano na watu wazito na...
6 Reactions
14 Replies
4K Views
Hi.. Kwa wahenga natumai mmeitizama muvi hii. Sterling Donie Yen Kuna dogo fulani yupo humu ni noma sana kwenye masho ratiii (In Dj Afro voice). Hako kadogo jina lake halisi ni Angie Tseng...
7 Reactions
23 Replies
4K Views
Kwa hatua uliyokuwa umefikia kwa kipaji chako cha mziki..hakika haikua kazi nyepesi kupambana na nafsi yako na kuacha kabisaa mziki wa dunia na kumrudia Muumba wako na kukubali kuanza upya katika...
5 Reactions
33 Replies
5K Views
Ben Pol amesema kwa interview kuwa Harmonize, Sheta na Caligraph Jones wana slide kwa sana kwa dm ya mchumba wake Anerlisa. Kama kawaida yenu watanzania hampendi kuona watu wanaelewana lazima...
9 Reactions
134 Replies
22K Views
Aslaam aleikyum wanajamvi, Kwanza nianze kwa kutoa pole kwa wanafamilia wote wa CMG kwa kuondokewa na Watu wawili muhimu (Ruge&Kibonde), kazi yake mola haina makosa. Let me back to the...
11 Reactions
115 Replies
73K Views
Hakuna kubadili gia, Hakuna kupoteza nia!Dada mkuu Jide Jay Dee amedhamiria kuongeza volume Clouds FM ndani ya Amplifaya na Mtu wako wa nguvu, Mr.Countdown Millard Muyenjwa Laizer Ayo, Teh teh...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
WAKATI Siku ya Wapendanao — February 14 mwaka huu — inakaribia, staa wa filamu, Elizabeth Michael Lulu, amekuja na jambo jipya; anauza nguo zake na viatu ambapo pesa atakayoipata itakwenda...
0 Reactions
39 Replies
13K Views
Kuna mtu kanidokezea kwamba mama yetu wa kwanza naye alijitosa usiku mrefu ufukweni mwa bahari ili kujipatia mafuta ya yule papa aliyefia ufukweni wiki ilopita. Inasemekana ni dawa nzuri kwao...
1 Reactions
39 Replies
10K Views
Muigizaji wa Filamu Tanzania Shamsa Ford Muigizaji wa Filamu Tanzania Shamsa Ford, amesema kutokana na uzuri alionao, anaamini mwanaume anayetaka kumuoa kwa sasa anapaswa kutoa mahari ya shilingi...
3 Reactions
205 Replies
29K Views
Wallah Huyu Dada Anapika na Ni Hardworking (Kwa Hill Namsifu)Then Pamoja Na Ubonge Wake A see Anajua Kucheza Muziki Mzuri... Let's get back to the point, ananiudhi huyi huyu Dada,You know kuna...
6 Reactions
54 Replies
12K Views
Vanessa alisema sababu ya yeye kuacha mziki ni kuwa haukuwa unampa hela, halafu alikuwa akilazimika kuishi maisha ya juu ili kuwafurahisha mashabiki, wakati kiuhalisia hana uwezo huo Inawezekana...
7 Reactions
95 Replies
13K Views
Nimepokea kwa Mshituko mkubwa Kifo cha Mzee Mabrook maarufu.Babu Njenje kilichotokea usiku wa kuamkia leo ====== Mkongwe wa Muziki wa Mduara MZEE NJENJE, aliyekua mmoja wa wanaounda Kundi la...
2 Reactions
26 Replies
6K Views
Diamond Platnumz Ameweka wazi kuwa amemalizana na lebo ya Universal Music ambayo alimwanga wino kusambaza kazi zake za Music, Diamond amesema kuwa amejifunza mengi kupitia mikataba yao, kiasi...
6 Reactions
41 Replies
8K Views
Ukiangalia kipindi cha kusoma magazeti Wasafi TV kwakweli ndugu Maulid Kitenge unaboa sana na hivyo vituko vyako. Yani umekuwa kama MC Pili pili hebu acha huo upuuzi. Ulikuwa mtangazaji mzuri...
31 Reactions
81 Replies
11K Views
Ndoa ya Muigizaji wa Bongo movies Shamsaford na Chidd Mapenzi imeingia doa, kisa na Mkasa Bado Hakijawekwa Wazi.. Chanzo cha habari Shamsa mwenyewe kama inavyoonekana pichani Hapa akimjibu...
11 Reactions
201 Replies
43K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…