Simi: The African wonder voice

Kuzaliwa Nigeria kuna mtosha sana,sababu Wanaijeria wa support sana mziki wao na wanajua kupush kazi zao na ndio maana hata wasanii wa US wana washirikisha kwenye nyimbo zao.

Hata huko juu anaweza fika sababu support kweli anaipata.
 
Simi is another level.

Natamani siku moja mwana dada zuchu nandi maua sama wafikie levels za simi
 
Hahaha watu mliomjua simi 18 na 19 mnasumbua sana. ila mtafute na efya msikilize mapema.
 
Ongezea na mwanadada wa kuitwa Jhené Aiko, kisha leta mrejesho hapa!
 
Huyo binti anaimba vzr sana! Napenda nyimbo zake, hasa lile pini alilopewa shavu na Mr eazi
 
Nani anamuelewa Simi kama mimi? Ni msaniii Wa kike kutoka Nigeria. Ana sauti ya kipekee sana.

Ukisikia "duduke", " I don't know you well" ni talented mno. Angekuwaa majuu angekuwa level za kina Rihanna. She is my best.
Mimi napenda ngoma zake zoote kasoro duduke. Pia namwelewa D'ija sijui siku hizi kapotelea wapi maana ile ngoma yake ya awww inanikumbusha ilikuwa kama safari iliyoanza katikati . . .
 
Back
Top Bottom