Mapokezi ya King Kiba huko Kigoma ni Balaa

Robidinyo

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
3,738
7,688
Ndugu Wajumbe wa Wcb mmeona balaa la mfalme huko Kigoma?

King baada ya kuujaza uwanja wa Nangwanda sasa amepeleka balaa kigoma, Mapokezi aliyoyapata unaambiwa haijawaitokea msanii akapata nyomi la watu kama la king kiba

Chibunye alikusanya Wadada wa Bongo muvu wavaa utupu ili apate nyomi la watu

IMG_20200813_111151_308.JPG

Hapo ndo Diamond atapobaki kuwa juu maana kadiri utavyo jitahid kufanya vizuri utaishia kushindanishwa nae kama kigezo cha msanii kuwa bora Tanzania
 
Robidinyo Bora hata usingepost unajiaibisha mzee post jinsi gani Alikiba anaishi kivuli Cha diamond na pia namna avyo diamond anakubalika Sana kuliko Alikiba
 
Ndugu Wajumbe wa Wcb mmeona balaa la mfalme huko Kigoma?

King baada ya kuujaza uwanja wa Nangwanda sasa amepeleka balaa kigoma, Mapokezi aliyoyapata unaambiwa haijawaitokea msanii akapata nyomi la watu kama la king kiba

Chibunye alikusanya Wadada wa Bongo muvu wavaa utupu ili apate nyomi la watu

View attachment 1535796

Nasikia mda wowote Konde Gang wanamtambulisha Cheed,usisahau kutuwekea habari zako kama ulivyokuwa unatuwekea.
 
Hapo ndo Diamond atapobaki kuwa juu maana kadiri utavyo jitahid kufanya vizuri utaishia kushindanishwa nae kama kigezo cha msanii kuwa bora Tanzania
na daima milele kiba ataendelea kuwa mshindanishwi wake.

haijalishi anategea kiasi gani, see hapa hata media hana, insta kwenyewe hapost, wala hapendi mambo mengi lakini cheki shobo la robo tatu hiloo.

binafsi sipendi maisha anayoishi kiba, anamvuna mwenzie.
 
Hapo ndo Diamond atapobaki kuwa juu maana kadiri utavyo jitahid kufanya vizuri utaishia kushindanishwa nae kama kigezo cha msanii kuwa bora Tanzania
Ni vijana hawana ajira kutokana na sera mbovu wangekuwa na kazi za kufanya wangekuwa bize kwenye shughuli zao.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom