Je, ex wa Jux, Jack Cliff kutoka gerezani mwezi huu?

Lord Diplock MR

JF-Expert Member
Mar 16, 2015
1,393
3,234
Ikumbukwe kuwa video vixen maarufu Jack Patrick/ Cliff ambaye pia alikuwa mpenzi wa Msanii Jux alihukumiwa kwa kukutwa na madawa ya kulevya nchini China tarehe kama ya leo tarehe 11/ 08/2014.

Japo hakukuwa na taarifa rasmi lakini tetesi kutoka kwa watu wake wa karibu zilidai kuwa alihukumiwa kwenda jela kwa muda wa miaka 6.

Kama hizo taarifa ni za kweli basi leo tarehe 11/08/2020 ndiyo ametimiza miaka 6 gerezani, na kama ni hivyo tumtegemee wakati wowote kuachiwa na kurudi nchini kuungana na familia yake.
 
Tamaa mbaya. Sijui Louis Vuitton,Christian Louboutin,Christian Dior,Gucci et al.Maana zaidi kuvaa hakuna la maana alilopata kwa kuwa punda.
Kama atatoka jela hope atakuwa kujifunza.
Akija Sasa atakuta trend imebadilika watu siku hizi sio punda Tena Ni wanadangaling

Yes kudanga ndio trend ya mjini saivi

Ila Toto lilikuwa zuri nyie refu Lina mwili mzuri jeupe duuh

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom