Huyu sichana ni jinga na huyu kijana hajielewi.
Alianza kumtafuta Peter wa P square akijisogeza sogeza kwama awe anampost. Akaweka waji kwamba akiconnect na watu maarufu atapata fanbase kubwa...
Hili Jambo linanishangaza Sana , sijaona wasanii wengine hasa wa nje , wakiweka video tofaut na official music kwenye official accnt zao za YouTube , huku Tz ni fujo tupu , unakuta msanii anaoga...
Wasalaam wana jamvi,
Mrembo namba moja nchini na mtangazaji mahiri kabisa nchini Diva-Loveness -Love leo ameshea hisia zake kwa wananchi baada ya kushuhudia wananchi wenzie wakigombea daladala...
Habari wadau kama mtakua mnatembelea mitandao ya kijamii naamini Habari kubwa sasaiv ni Diamond na baba yake watu wamekua na maswal mengi kila mtu ameuliza lake na bila kupata Majibu Bali kubaki...
Hakuna kitu. Hapo
Inaonekana ana management ya nguvu sana ila stand up hakuna kitu
Anaweza tumia dk 5 watu hawajacheka... not only watu.. mimi mwenyewe sijacheka
Sijui sababu nawaangalia sana...
Kwakweli wanajamii najiuuliza kuhusu huyu mtu anaitwa Isaac Ndodi!
Huu umaarufu ni wanamnagani alio nao?
Au sijui ni ushamba, au labda nifikiri kuwa watu wa Arusha wana magonjwa mengi sana...
Haka katoto mwanzoni nlikua nakchukulia POA Ila hii ngoma ya Sukari aisee Ni [emoji91] [emoji91], dzain kapita Kama maua Sama na iokote. Bravo https://youtu.be/E2mJ-w_sZ2Q
Mabondia kutoka familia moja Kublat Pulev na kaka yake Tervel Pulev wawasili nchini Tanzania kwa ajili ya kushuhudia usiku wa vitasa utakao fanyika tarehe 29/1 ndani ya ukumbi wa next door jijini...
VS
Wana jamvi Wasalaam
Mwaka 2020 umekuwa mwaka wa ushindani mkubwa sana kwenye tasnia ya muziki hasa bongo fleva hapa nchini nah ii imetokana na kuwa mwaka wenye kazi bora sana za muziki wa...
Ikiwapendeza hii familia ianzishe family show itakayorusjwa na tv mbalimbali.
Ni familia yenye matukio kila uchao kuanzia mafanikio mpaka kashfa mbalimbali.
Ni famila yenye watoto wasiotokana na...
Dudu baya kizimbani kwa kutoa lugha chafu.
-
Mwanamuziki wa Bongofreva, Godfrey Tumaini maarufu 'Dudu baya' amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya Kinondoni jijini Dar es Salaam akikabiliwa na...
ingia kwenye link kisha vote
https://www.mtvmama.com/info/aljvas/vote
jamani mjitaidi kuvote ata kama uwapigii wengine akikisha umempigia mate wangu zuhura aka zuchu
category ni breakthrough act
Nguli wa habari Larry King kwa habari zilizopo ameshikwa na umauti akiwa na umri wa miaka 87. Kwa taarifa zilizopo ikidaiwa covid -19 alipokuwa akipatiwa matibabu Los Angeles.
Anakumbukwa kwa...
Jamaa wana wasanii wakali mnoo wanaimba muziki mmoja classic sanaaa
Na unadumu hauchoshi kabisa.
Sio takataka za jamaa wetu wa bongo zinaeleweka club tu..
Kuna wale
Ambassador of Jesus Christ...
Huko kwenye you tube nimeona parody kibao za Waah ya Mondi, ningetamani kujua kama anafaidika ama ni wanajifurahisha tu...ingawa Watu wanapata views kupitia hilo.
Moja wapo hii hapa.
Diamond Platnumz ana umri wa miaka 31 kwa sasa. Ni mtu mzima. Ni baba wa watoto wanne wanaotambulika.
Wawili kutoka kwa cheupe wa Uganda, Zari The Boss Lady; supermodel Hamisa Mobetto anaye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.