Hayawi hayawi sasa yamekua! Hatimae Yule mmiliki wa makampuni ya IPP bwana Reginald Mengi amemchumbia aliewahi kuwa Miss Tanzania, Jacqueline Ntuyabaliwe(K-Lyin)
Ilikua ni birthday ya bidada...
Kupitia ukurasa wake wa instagram diamond kawakashifu Forbes kutokana na list zinazosambaa mitandaoni zikionesha wasanii tajiri Afrika.
Unawaponda forbes wakati hakuna mahali popote forbes...
Kila nikiangalia post zake najisikia kumchamba ila maskin nikaja kujua shostito nati kichwan zimekatika, she needs a mental check up kwa kweli, Diva kichwa chake sio kizima.
Sijui anajikutaga...
Dogo ana kipaji kizur Sana , lakn sasa anakoelekea , sio poa baadhi ya reaction za mwili zinajengwa na mazoea , baada ya mda sitashangaa anakuwa na mambo ya kike kike...ajitahdi kubalance mambo...
Matt Damon Hopes The Ben Affleck And Jennifer Lopez Romance Rumours Are True: ‘I Love Them Both’
Becca Longmire 4 hrs ago
Ben Affleck's good friend Matt Damon is now weighing in on those...
Habari Tena Wana JF:
Naona harmonize anajitapa sana na kutaka kuuaminisha umankuwa yeye ninmkubwa kwa Rayvanny.
Wayback wote walikuwa WCB na Rayvanny alivhukua BET harmonize akiwa WCB he ...
Msanii Diamond Platnumz, ameandika historia nyingine tena baada ya kutia saini mkataba na kampuni ya muziki ya Afrika Kusini, Warner Music.
Mkataba huo mpya utahakikisha kuwa WCB Wasafi...
Hivi karibuni , video zimesambaa mitandaon,zikionyesha matukio ya violence baina ya rapper kutoka Africa kusini AKA na aliyekua mchumba wake Annele ambaye ni marehemu kwa sasa. Video hizo...
Video ya msanii Anjela wa konde music worldwide imefanya maajabu na kuonyesha kukubalika kwa haraka sana ambapo imefikisha zaidi ya views milioni 1 ndani ya saa 24. Mafanikio makubwa ndani ya...
Baada ya Vannyboy mtu mbaya kuachia "lisong" akiwa amemshirikisha mega star from Kongo Innos b , goma linalokwenda Kwa jina la "KELEBE"ambalo kwa sasa ndo habar ya mjini....
Goma Hilo lililogonga...
Habarini Wana Jf
Kiukweli mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.
Kitendo hiki Cha Diamond platnumz kutoa mkono wa EID kwa mikoa mitatu kinaonesha maana kamili ya kuwa msanii Ni KIOO CHA JAMII...
Huyu comedian mwenye asili ya Ghana anaeishi Marekani na kufanya kazi zake za sanaa Nchini Us pia ameshiriki filamu ya Coming to America 2, huwa ananifurahisha sana jinsi anavyopenda kwao Ghana...
Kwa upande wangu naona hili bifu limemuathiri zaidi Rayvanny, nimegundua baada ya kwenda you tube na kuangalia video ya keleb ya Rayvanny, nimesoma comments nikafamu Kuna watu wanetoa negative...
Baba ana watoto wawili mmoja bado yuko nyumbani(Ray vanny) anapata support ya familia kwa kila kitu na mwingine(HARMONIZE) ameamua kwenda kujitegemea kimaisha anajitegemea kwa kila kitu(jeshi)...
Sikupata nafasi ya kusikiliza audio ya KELEBE ya RAYVANY....
Basi nkaona si mbaayaaa kuangalia video nipate pia wasaa wa mashairi pia.
LAHAULAAAAAAAAA......
Pengine ndo mziki mzuri kizazi hiki...
Wimbo unaitwa SORRY NOT SORRY. Mpaka sasa nimeskiliza kipande cha Nas tu, navuta pumzi nimsikilize Jay. Licha ya bifu lao au mgongano kuisha toka miaka ya 2006 lakini hadi leo hii, wapenzi wa...
Miaka ya nyuma huyu jamaa alitamba na kibao "Elimu ni biashara tutasomaje?" Sijamsikia kwenye muziki siku nyingi na sijui yupo wapi na anashugulika na nini?
Hii nyumba yake nyingine kainunua hajajengewa na Serikali anaishi hapo kisiwani (Martha vineyard) Kuna hali ya hewa Safi imezungukwa na bustani Ina vyumba 7 kila chumba na bafu lake, hekari jumla...
Harmonize kasema hakuna msanii wa Tanzania alie mkubwa Afrika ila tunadanganyana tu, akabezwa.
List ya wasanii wanaomiliki mkwanja mrefu imetoka na msanii wetu tunaemuita mkubwa ametoka kapa...