Diva anahitaji msaada...

warumi

R I P
May 6, 2013
16,273
18,389
Kila nikiangalia post zake najisikia kumchamba ila maskin nikaja kujua shostito nati kichwan zimekatika, she needs a mental check up kwa kweli, Diva kichwa chake sio kizima.

Sijui anajikutaga nan mwenyew maskin, Yan anahangaika, full kujisifia I have this and that, mara niko na pesa, halafu kesho yake tena anaanza kupost matangazo ya elfu 30.

Mara ana nyumba masaki na mikochen, Yan huyu mbwa anahangaika na maisha had anatia huruma

IMG_2121.jpg
 
Kila nikiangalia post zake najisikia kumchamba ila maskin nikaja kujua shostito nati kichwan zimekatika, she needs a mental check up kwa kweli, Diva kichwa chake sio kizima. Sijui anajikutaga nan mwenyew maskin, Yan anahangaika, full kujisifia I have this and that, mara niko na pesa, halafu kesho yake tena anaanza kupost matangazo ya elfu 30. Mara ana nyumba masaki na mikochen, Yan huyu mbwa anahangaika na maisha had anatia huruma View attachment 1764453
Mie mtu anayeandika maandishi meeeeengi hua namuona hayupo sawa kichwani, kuna yeye na yule kimbau mbau mwenzangu wa USA,
Wanahitaji msaada.
 
Kila nikiangalia post zake najisikia kumchamba ila maskin nikaja kujua shostito nati kichwan zimekatika, she needs a mental check up kwa kweli, Diva kichwa chake sio kizima. Sijui anajikutaga nan mwenyew maskin, Yan anahangaika, full kujisifia I have this and that, mara niko na pesa, halafu kesho yake tena anaanza kupost matangazo ya elfu 30. Mara ana nyumba masaki na mikochen, Yan huyu mbwa anahangaika na maisha had anatia huruma View attachment 1764453
Diva amezaliwa mwaka 84/85.. Sasa hivi atakuwa na 36 au 37
 
Nimeishia hapo aliposema ana 32.

DIVA ana 32 yaani kanizidi Mwaka mmoja?

Kha. Huko Dar lazima nije, mwaka uko una siku 365 kweli au siku 60,000 kama Neptune?
Hahaha..wanawake na watu maarufu wa bongo ni wasanii sana..yaani unakuta mtu wakati unasoma sekondari yeye tayari alikuwa anakimbiza mjini na sio mtoto,lakini ukikua unaskia mnapishana mwaka mmoja au miwili..yaani usanii mtupu.
 
Kila nikiangalia post zake najisikia kumchamba ila maskin nikaja kujua shostito nati kichwan zimekatika, she needs a mental check up kwa kweli, Diva kichwa chake sio kizima. Sijui anajikutaga nan mwenyew maskin, Yan anahangaika, full kujisifia I have this and that, mara niko na pesa, halafu kesho yake tena anaanza kupost matangazo ya elfu 30. Mara ana nyumba masaki na mikochen, Yan huyu mbwa anahangaika na maisha had anatia huruma View attachment 1764453
Mbaya zaidi Chibu akimpotezeaga mtu anampotezea mazima, yani ni kama hamuoni. Utaongea wee yeye hana habari na wewe.
Sasa hivi hana effect kachelewa sana
 
Hahaha..wanawake na watu maarufu wa bongo ni wasanii sana..yaani unakuta mtu wakati unasoma sekondari yeye tayari alikuwa anakimbiza mjini na sio mtoto,lakini ukikua unaskia mnapishana mwaka mmoja au miwili..yaani usanii mtupu.
Au umemzidi, yani mimi wema kaanza kuwa maarufu mimi bado nasoma sijui form 2 sijui 3, ila nashangaa eti mimi mkubwa kuliko yeye wakati sikuchelewa kuanza shule mpaka nachanganyikiwa au yeye mwaka wake ni tofauti na wa kwangu
 
Back
Top Bottom