What went wrong with Dullvan (Nini kimempata msanii wa vichekesho Dullvan)?

Slowly

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
10,477
34,745
Dogo ana kipaji kizur Sana , lakn sasa anakoelekea , sio poa baadhi ya reaction za mwili zinajengwa na mazoea , baada ya mda sitashangaa anakuwa na mambo ya kike kike...ajitahdi kubalance mambo naona sa hv amekuwa extremely kuact kama mwanamke , may be anamake huge đź’° , but soon gharama yake itaonekana ....

IMG_20200226_111420.jpg
Screenshot_2020-02-26-11-14-59-623_com.miui.gallery.jpg
Screenshot_2020-02-26-11-15-48-711_com.miui.gallery.jpg
IMG_20200226_111650.jpg
 
fame has price...kujigeuza mwanamke ili kupata umaarufu nayo ni mbinu tu...sikuhizi wanapenda kiki hawa wasanii..

kila siku wanabuni mbinu za kupata fame..hii ikiwa ni moja wapo
Cost yake ni kuloose ambition za kiume ...mfano mwanamke aanze kucheza mieleka , ni kweli ni Sanaa na atapata hela ni kweli kabisa , Ila atauforce mwili kuwa kama mwanaume ili kuendana na Sanaa anayofanya , na mwili utarespond , na hvo kuna character za kike zitapotea
 
Dogo ana kipaji kizur Sana , lakn sasa anakoelekea , sio poa baadhi ya reaction za mwili zinajengwa na mazoea , baada ya mda sitashangaa anakuwa na mambo ya kike kike...ajitahdi kubalance mambo naona sa hv amekuwa extremely kuact kama mwanamke , may be anamake huge đź’° , but soon gharama yake itaonekana ....

View attachment 1369436View attachment 1369438View attachment 1369440View attachment 1369441
Kwani tatizo liko wapi hapo si anatumia Sanaa yake mchumba wake analijua Hilo wewe unatokaje povu Kama mpenzi wake karidhia Hilo we ni Nani mpaka uteseke
 
jamani tupeane taarifa ya idadi na picha za hawa watu, maana nilivoangalia hapo picha ya kwanza na ya pili ikashawishi kumtongoza ikabid nisome uzi vizuri kumbe ni me duh!
Ha haaa
 
Back
Top Bottom