Maturity ya Diamond Platnumz for "Returning to the society" leo Eid

Kigoma Independent

JF-Expert Member
Dec 18, 2017
3,364
2,000
Habarini Wana Jf

Kiukweli mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.

Kitendo hiki Cha Diamond platnumz kutoa mkono wa EID kwa mikoa mitatu kinaonesha maana kamili ya kuwa msanii Ni KIOO CHA JAMII na kwa mantiki hii hatuna budi kuukubali ukwlei na kusema kuwa anastahiki heshima zaifia ya anayopewa

Pia hii inadhihirisha kuwa Ile list ya matajiri ilitoloewa kimakosa maana angefaa kuwa msanii Tajiri namba moja kwa kitendo hiki anachoonesha.

Hakuna msanii yeyote ambaye amefanya Kama ambavyo Diamond platinumz anafanya kwa kurudisha kwenye jamii Africa mzima na hata duniani Kama sijakosea.

Kwa hiyo itapendeza kwa kumsapoti kinaga ubaga Kama mkombozi wa tasinia ya Sanaa(Muziki) na jamii kwa ujumla.

DIAMOND PLATNUMZ NI REAL DEAL as a G. O. A. T IN AFRICA AND THE WHOLE WORLD.
 

Franky Samuel

JF-Expert Member
Oct 10, 2018
1,202
2,000
IMG_5471.jpg
 

Kigoma Independent

JF-Expert Member
Dec 18, 2017
3,364
2,000
Ile GARI, na Ile NDEGE zishafika? Vp nyumba 126 keshapaka Rangi? Vp ashalipia wale watu 500 pango?
Aache kiki za kifala kuongopea watu.
Diamond platinumz ndio kijana under 40 billionaire kwa TANZANIA kwahiyo hivyo kwake Ni vitu vidogo ana zaidi ya USD 15 million kwahiyo ashindwi soon JET, ROLLS ROYCE ZINATUA nyumba kapangisha na kalipia over watu zaidi ya 1000
 

CARDLESS

JF-Expert Member
Apr 2, 2017
2,586
2,000
Diamond platinumz ndio kijana under 40 billionaire kwa TANZANIA kwahiyo hivyo kwake Ni vitu vidogo ana zaidi ya USD 15 million kwahiyo ashindwi soon JET, ROLLS ROYCE ZINATUA nyumba kapangisha na kalipia over watu zaidi ya 1000
Hata hiyo 500M hajawahi kuwa nazo CASH/BANK. Watu kama ww ndio hudanganywa na mtu kama yule. Vijana kibao mjini wana maisha kuliko huyo. Usifananishe umaarufu na PESA.
 

The Icebreaker

JF-Expert Member
Feb 11, 2018
8,551
2,000
Diamond platinumz ndio kijana under 40 billionaire kwa TANZANIA kwahiyo hivyo kwake Ni vitu vidogo ana zaidi ya USD 15 million kwahiyo ashindwi soon JET, ROLLS ROYCE ZINATUA nyumba kapangisha na kalipia over watu zaidi ya 1000
Na wewe una utajiri kiasi gani? Au wanao utakuja kuwaachia urithi hizi thd unazoanzisha JF kila kukicha za kujikomba kwa mwanaume mwenzio?
 

nduza

JF-Expert Member
Feb 7, 2019
1,223
2,000
Kwani uliambiwa list ya matajiri hutolewa kama tuzo ya kujitolea kwenye jamii
Kwamba mondi angestahili kuwa top?

Lakini una habari gani kuhusu hao wasanii wengine wenye mkwanja mrefu kujitolea kwenye jamii zao?

naamini hata ingekuwa ni tuzo ya aina hiyo bado asingeshinda

Lakini zote hazina maana ni mitizamo tu wa mtu binafsi

Huwenda siku ya leo kuna msanii anakula bata mahali la mara kumi ya hicho alichojitolea leo katika sehemu unazosema kama hoja ni matumizi kwamba ndiyo yanamfanya asiwe juu kuliko hao waliomzidi
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom