Utata kifo cha Annele, mapya yaibuka...

warumi

R I P
May 6, 2013
16,273
18,380
Hivi karibuni , video zimesambaa mitandaon,zikionyesha matukio ya violence baina ya rapper kutoka Africa kusini AKA na aliyekua mchumba wake Annele ambaye ni marehemu kwa sasa. Video hizo zinaonyesha rapper huyo akivunja mlango kwq hasira na kuingia kwenye chumba cha mpenzi wake annele miezi kadhaa nyuma kabla ya kifo chake, maeneo ya Brynston huko johannesburg .

Video hizo zimezua mjadala mkubwa kuhusu kifo cha annele kinachodaiwa kilitokana na kujiua kutokana na msongo wa mawazo ambapo inasemekana mrembo huyo alijirusha kutoka chumba cha hotel huko CapeTown , video hizo zinamuweka matatani rapper huyo kuwa anahusika moja kwa moja na kifo cha mchumba wake.

Wazazi wa annelle ambao pia na wao ni mambo safi wametamka wazi kuwa kifo cha mtoto wao hakikutokana na kujiua bali kuna mkono wa wa mtu kwan wanaamin mtoto wao alikua na kila kitu alichotaman Hivyo isingekua rahis kujiua
384dfa48-34a6-495e-8efa-593024e27648.jpg

12560d52-dcd6-478b-9ace-7b26d7e0ecbc.jpg

416ddba1-15fe-4d72-b41e-20024a886592.jpg
 
Uchunguzi haujamalizika tu

Kuna video nimeona mdada analia dah I don’t know what she went through but I can imagine it wasn’t easy for her

Ndo marehemu huyo alikua anasema you don’t know what he has been doing to me , analia kwa uchungu
 
Back
Top Bottom