Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Kumekucha huko !! Utachagua Mawili tu hapa 1-Uwabagaze Watanzania ili Jina lako liingizwe kwenye Orodha ya Watu wasosamehewa Milele na Milele na MUNGU ANENE NAWE. 2-Kukaa Kimya . Mungu...
3 Reactions
13 Replies
456 Views
Msanii wa Muziki wa Bongofleva 'Zuchu' Kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika kuiombea Taifa la Tanzania kuwa nchi yenye amani, umoja na Upendo Jambo ambalo wananchi wengi kwa upande wa...
0 Reactions
7 Replies
526 Views
Kutoka katika ukurasa wa Instagram wa msanii wa Bongo Flavour Phina... "moyo wangu ni mzito sana... 💔 pole nyingi kwa familia, ndugu na marafiki waliopoteza wapendwa wao. tunaomboleza pamoja...
1 Reactions
6 Replies
336 Views
Kutoka kwenye Ukurasa wa Mwanamuziki Diamond Platnumz ameandika haya "MWENYEZI MUNGU NDIO MPANGA WA YOTE...NA HAPAJATOKEA JAMBO PASIPO YEYE KUTAKA, NA KILA JAMBO HUTOKEA KWA SABABU...INSHAALLAH...
1 Reactions
12 Replies
5K Views
Msanii wa Muziki wa Bongo fleva 'Marioo' kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Instagram ametoa salamu za Pole kwa Watanzania wote, familia na ndugu waliofiwa na wapendwa wao na Mwenyezi Mungu aweze...
1 Reactions
5 Replies
275 Views
"Mungu awapumzishe salama walio tangulia awaponye waliokuwa mahospitali kwa pamoja utupe amani mungu ibariki tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿.
0 Reactions
2 Replies
149 Views
Msanii wa muziki wa Bongo fleva Queen Darlin amesema laiti Mungu angempa uongozi basi wale wanaopanga kujiandaa Oktoba 29, 2025 angewakata kata na kuwavunja miguu akidai Rais Samia ametekeleza...
0 Reactions
41 Replies
2K Views
Rapa kutoka West Coast Nipsey Hussle afariki dunia baada ya kupigwa risasi nje ofisi ya kampuni yake ya nguo ambapo alikuwa yupo akipiga picha na watoto wadogo. Mpaka sasa inasemekana C.I.A ndiyo...
5 Reactions
199 Replies
27K Views
Wanabodi, JF bado tuko kwenye maombolezo ya kumlilia member mwenzetu William Malecela, kwa jina maarufu Le Mutuz Super Brand ambaye kesho Jumatano saa 9:00 Adhuhuri ndipo atapumzishwa kwenye...
23 Reactions
39 Replies
7K Views
Ngumu kuacha kitu kitrend chenyewe. Boost muhimu. Ningeongeza view ila walituambia tufanye kazi.
3 Reactions
9 Replies
675 Views
Wakuu kama heading inavyojieleza. Je nini kimemsibu?!
5 Reactions
36 Replies
1K Views
Nakumbuka miaka hiyo Aggrey Marealle nilikuwa namuona sana kwenye media akiwa mkurugenzi wa mawasiliano wa kampuni ya TBL. Yupo wapi siku hizi huyu ndugu kwa anayefahamu.
3 Reactions
33 Replies
2K Views
Nyota ya Diddy inaonyesha nguvu kubwa sana ya uthibiti katika kila hali siku hizo so kwa makadilio Diddy anaweza kutoka Jela kati ya Tar 5 hadi tar 9 january na reccond zaidi Tar 8.
0 Reactions
5 Replies
462 Views
Msanii wa Bongo Fleva Rashid Makwiro almaarufu Chid Benz akifanya mahojiano na shirika la habari la BBC ameeleza sababu ya yeye kutojihusisha na siasa kama ilivyo sasa wasanii wengi wamejikita...
5 Reactions
14 Replies
842 Views
Akiwa Mdogo na Kaka yake, walikuwa Ndani huku wakicheza mchezo wa tiali bado. Ilipofika zamu yake kujificha, O’shea Jackson alifungua Friza na kudumbukia ndani kwa malengo ya kujificha. Kaka...
18 Reactions
36 Replies
2K Views
Wadau habari. Muziki wa hiphop wa sasa umebadilika sana.Lakini kwa sisi wenye kumbukumbu za zamani hebu tukumbushane. 1.Je unaikumbuka ngoma ya kwanza Unit aliimba Bugz Malone na D Rob.Bug...
1 Reactions
3 Replies
297 Views
Rashid Makwiro almaarufu kama Chid Benz Msanii wa Bongo fleva ameonekana akiwa pamoja na Msanii Shetta ambaye pia ni Mgombea Ubunge CCM Kata ya Mchikichi wakiwa katika mkutano wa kampeni za...
1 Reactions
10 Replies
569 Views
Sweet - Nandy Cover Ukimwona - Diamond cover Kivuruge - Nandy Cover Siachane nawe - Baraka Cover
0 Reactions
2 Replies
263 Views
Sweet - Nandy Cover Ukimwona - Diamond cover Kivuruge - Nandy Cover Siachane nawe - Baraka Cover
0 Reactions
2 Replies
231 Views
Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Omary Nyembo maarufu kama Ommy Dimpoz amepost zawadi ya simu toleo jipya iPhone 17 Pro Max aliyonunuliwa kama zawadi na mke wa GSM. Baada ya kupost zawadi hiyo...
8 Reactions
24 Replies
1K Views
Back
Top Bottom