Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Ni beats kavu hazina mashairi ( Instrumental ) Kwenye Chati Mkiwa Tamala Baby Gal Mtoto wa Geti Kila mtu na demu wake Chidi na Mzee Yusufu
3 Reactions
2 Replies
404 Views
Mke wa msanii maarufu anayejulikana Kama Tomeka Thiam ambaye ni mke wa msanii maarufu wa R&B Akon ameenda kudai talaka mahakamani baada ya kuwa kwenye ndoa kwa miaka 29 akidai alipwe euro million...
28 Reactions
70 Replies
3K Views
Mrembo Anna Silva, amenukuliwa akisema amechoshwa na tabia ya mchezaji huyo wa Real Madrid kutaka kushiriki naye threesome. Licha ya hivyo pia Vini amekuwa akimtumia picha za nyeti zake mrembo...
5 Reactions
55 Replies
3K Views
Huyu mwanadada enzi hizo alitikisa sana hapa bongo, kiasi kwamba watu tuliamini ndio mwanamke mzuri Tanzania nzima. Wanaume wote wa dasalama, walishirikiana kumkuwadia mwanetu Mb dogg. Ila...
13 Reactions
101 Replies
5K Views
Mke wa msanii kutoka Uganda Jose Chameleone aitwae Daniella ambaye wameishi kwenye ndoa kwa miaka 17 amepeleka kesi mahakamani ya kudai talaka na mgawanyo wa mali . Hata hivyo Jose Chameleone...
8 Reactions
57 Replies
4K Views
Msanii Agness Suleiman maarufu kama Aggy Baby, ameibuka mshindi wa Tuzo ya Muigizaji Bora wa Kike wa Mwaka 2025 katika Achievers Awards International zilizofanyika nchini Nigeria, kutokana na...
3 Reactions
6 Replies
554 Views
Kwenye ulimwengu huu ambao kila mtu anasaka pesa ili aweze kuishi maisha mazuri na ya kifahari, hio ni tofauti kwa familia ya marehemu bilionea maarufu kule Zimbabwe aitwae Ginimbi. Kama...
5 Reactions
23 Replies
1K Views
DANSA anayetikisa kupitia wimbo wa Mbosso Khan “Aviola”, Queen Fraison, amefunguka kuhusu kazi yake ya unenguaji ambayo kwa sasa ndiyo inampa zaidi kipato. Queen Fraison amesema, hapendi kucheza...
4 Reactions
12 Replies
900 Views
Dogo anasumbua sana instagram kwa nyodo nyingi sana kwamba yeye hakuna wa kumfikia bongo kwa jeuri ya hela. kwa anayemjua vizuri huyu billionea atujulishe na sisi ili tu jifunze kutoka kwake jinsi...
3 Reactions
228 Replies
56K Views
Habari wakuu Tangu nimeanza kuona picha za kuchora na za kuchonga za Hayati Mwenyeheri, Nyerere, haijawahi tokea siku wakamchora sahihi. Au wakamchonga sahihi. Kwamba hii nchi inashindwa kuipa...
6 Reactions
12 Replies
611 Views
Hivi wakuu kuna msanii anaemzidi Harmonize yaani Kila nikiangalia hata wale wa zamani naona hamna kitu Sidhani ata kutakuja kutokea kama huyu mwamba Konde Boy. Bongofleva haimdai hata akifa leo...
8 Reactions
102 Replies
4K Views
Katika mahaojiano ya mwanamuzi wa HipHop Chid Benz amemeonyesha hali ya kumkumbuka na kumkubali mwanamuziki mwenzake wa zamani Saida Karoli na kuwaomba Ayo tv wmtafute na kufanya nae mahojiano...
3 Reactions
6 Replies
677 Views
Zimetokea bifu maarufu sana za mastaa hapa nchini na zikajizolea umaarufu 1. Ruge na Sugu Hii ilikuwa bonge la bifu. Baada ya Sugu kumtolea mbovu Rugs na unyanyaji wake wa fiesta 2 TMK halisi...
8 Reactions
103 Replies
5K Views
Mpiga picha namba moja wa wasanii nchini Tanzania ambae pia ana ushawishi mkubwa sana Instagram, Ashraf Lukamba ametuma ujumbe wa kumlilia Polepole. Lukamba mwenye followers zaidi ya million...
13 Reactions
49 Replies
2K Views
"Wasanii mmeshuka sana aisee yaani hata wale ambao walikua wana heshima kidogo na nyie mmegeuka machawa but why ? Jamani njaa ya miezi michache isitoe heshima yako ya miaka yote" — Faiza Ally
4 Reactions
29 Replies
2K Views
Mwigizaji Jacqueline Wolper ameeleza kuwa ameumizwa sana na jambo lililotokea jana Septemba 15, 2025 kati ya wanachama wa Chadema na polisi katika viunga vya mahakamani, kwenye kesi ya Tundu Lissu...
7 Reactions
15 Replies
996 Views
Huyu mwanadada Jennifer Jovin(Niffer) ambaye kwa sasa ndio mwanamke mwenye IQ kubwa ya upambanaji ukilinganisha na vijana wenzie kama Zuhura wa Mondi, atahakikisha anawainua vijana wenzake...
18 Reactions
77 Replies
4K Views
Msanii wa Bongo Fleva, Rashidi Makwiro ‘Chid Benz’ alipozungumza na Clouds TV, jana Septemba 3, 2025 amefafanua aina ya madawa ya kulevya ambayo yanatumiwa na watu wengi, akichambua pia tofauti ya...
8 Reactions
59 Replies
4K Views
Back
Top Bottom