Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Salute kwenu JF bosses! Kutokana na usaliti wao kwa wananchi na kuwakumbatia watawala waliofanya mauaji ya kikatili October 29 ya mwaka 2025, ni dhahiri shairi sasa HAKUTAKUWA na MSANII...
20 Reactions
65 Replies
3K Views
ninayoandika hapa simsingizii mtu bali natoa habari zangu kwenye vyanzo vya uhakika. sasa hivi mc pilipili ana trend baada ya kutangaza kuachana na mwanamke wake na kwenda mbali zaidi kusema ana...
28 Reactions
219 Replies
12K Views
Wakuu naona Manara hajakatia tamaa bado suala la ndoa, amedai watoto wazuri wanazaliwa kila siku anaachaje kuoa kwa mfano
1 Reactions
10 Replies
462 Views
Mange Kimambi: Mwanaharakati mwiba wa serikali ya Magufuli Ikiwa ni zaidi ya miaka miwili sasa tangu Rais John Magufuli wa Tanzania aingie madarakani, rais huyo ameonesha kutokusita kukabiliana na...
12 Reactions
168 Replies
17K Views
Wakuu, Hivi ni nini hasa kilikuwa kinamsumbua MC Pilipili? Nimeona kwa hii video akiwa anazungumzia kipindi ambacho hakuwa sawa na alikuwa anapitia msongo wa mawazo. Ni kuachwa na mkewe tu ndo...
4 Reactions
44 Replies
2K Views
  • Poll Poll
Ni ukweli usiopingika kwamba kwa sasa Tanzania kuna wanawake ambao pasipo kuangalia mazingira ya walipotoka, ila kwa sasa wapo kwenye daraja la juu sana, both kwenye upande wa umaarufu, pesa, high...
1 Reactions
47 Replies
3K Views
Yaliyojiri siku za karibuni, Kuna taarifa kwamba mama yake Hamisa Mobeto ambae ni Mama Mobetto amemnyakua bwana/ mume wa boss wa kitambaa cheupe Jesca Kikumbi. Kufuatia mnyakuo huo bi Jesca...
19 Reactions
129 Replies
10K Views
Wakuu, Mpoto huyu alikuwa wa moto bwana, inspiration kwa wengi, hata ambao tunapenda kuandika tulikuwa tunapata madini ya kuongeza nondo kwenye articles, mashari, na analysis mbalimbali Mpoto...
3 Reactions
6 Replies
340 Views
Ukitaka kumpa adhabu celebrity au socialite. Achana na habari za unfollow. Unfollow haimuumizi sana mtu aliyejenga brand na anaaminika sababu mitikasi yake itaendelea kumuendea. Ukitaka kumpa...
22 Reactions
34 Replies
1K Views
Nimejaribu kumsikiliza huyu dada Nicole Franklin Miss Shinyanga 2014 kuhusu mahusiano yake na MC Pilipili au Emmanuely yalivyovunjika lakini hayaeleweki maana inaonekana huyu dada alimpenda sana...
0 Reactions
119 Replies
18K Views
Mc na Mchungaji pilipili ameweka wazi kuwa alijichanganya na kuoa mwanamke aliyejaa tamaa ya maisha ya juu hivyo anajuta sana na kutoa ushauri kuwa vijana kuwa makini wanapochagua wanawake wa kuoa...
33 Reactions
416 Replies
18K Views
Nimejiuliza ila sijapata jibu. Maana ukikutana na msanii hata kama anamiliki Passo ambayo watu wengine huwa tunauziwa milioni saba, yeye atakwambia amenunua milioni kumi na tano! Jana nimeshangaa...
6 Reactions
81 Replies
10K Views
Idris Sultan ni miongoni mwa mastaa waliopata pesa nyingi wakiwa wadogo, na wakapata umaarufu wakiwa wadogo. Idris aliwahi kushiriki shindano la Big Brother na kitoka kitita cha mamilioni na...
2 Reactions
36 Replies
2K Views
Hizi ripoti asipuuze mshua, hali ya maisha inazidi kuwa mbaya sana. Gharama za hizo semina didimizi zingeweza kununua madawa ya kutosha zahanati zote nchini. Yale matrekta pale Suma Jkt yatakuja...
4 Reactions
33 Replies
9K Views
Lilikuwa ni suala la muda tu. Hatimaye imetiki. Pepsi imemvua ubalozi diamond , hivyo diamond ameondoa utambulisho rasmi wa yeye kama balozi wa pepsi Tanzania. Sasa hapa inabidi nguvu nyingine...
31 Reactions
33 Replies
4K Views
Mzee Yusufu Kaimu mchekeshaji mkongwe maarufu kama Pembe afariki dunia alasiri ya leo jijini Dar es Salaam. Taarifa zimethibitishwa na Msanii wa Filamu, Vincent Kigosi “Ray” na taratibu za mazishi...
21 Reactions
105 Replies
27K Views
'Hakuna maneno yanayo tosha sawa sawa kuelezea family zilizo poteza wapendwa wao ambao ni ndugu zetu pia. Kifo ndio ahadi pekee ya kweli inayopaswa kuheshimiwa MAISHANI huja mara moja tu. Ingawa...
4 Reactions
5 Replies
359 Views
Katika ukombozi wa taifa la Tanganyika sekta ya kulaani na matusi alikabidhiwa Sativa ila kwa sasa rasmi hii sekta kapewa Rachel Dangwa, ambapo inasemekana huwa hata akiota, anaota anaitusi...
8 Reactions
20 Replies
1K Views
Kupitia Insta Story yake msanii Marioo ameandika kuwa, “Kabla ya kila kitu Niliahidi kutoa Ngoma Week ya kwanza ya Mwezi huu ambayo ilikuwa ndo leo tars lakini Baada ya kila kitu. kutokea...
6 Reactions
12 Replies
1K Views
Wakuu, napenda nyimbo za Lucky Dube, Kuna ile anamuambia Mama yake kuwa ametendwa na mwanamke, Na kuna ule analalamika amekuwa Mtumwa wa pombe, hivi Lucky Dube akuacha watoto wakubwa?
11 Reactions
119 Replies
29K Views
Back
Top Bottom