Inadaiwa Kampuni ya Pepsi imeamua kujitenga na Diamond Platnumz ili kujiweka salama baada ya kadhia iliyozikumba baadhi ya kampuni Oktoba 29, 2025.
Hii imetokana pia na presha ya watu mtandaoni...
Mgahawa wa Shishi Food unaomilikiwa na mwanadada mrembo Shilole na duka la electronic la Nenga Tronix linalomilikiwa na msanii machachali Billnass, vilishika moto kipindi mtandao umezimwa. Chanzo...
Mbunge mteule wa Jimbo la Kigoma Mjini Kupitia CCM, Clayton Revocatus Chipando Maarufu Baba Levo akieleza furaha yake Siku yake ya kwanza Bungeni ambapo leo Novemba 11. 2025 amekula kiapo rasmi...
Wengi wetu tumeshuhudia jinsi baadhi ya celebrities hasa wasanii na wanamuziki walivyokuwa wakishiriki si tu kwa kuonyesha mapenzi yao ya kisiasa kwa upande flani, bali pia wakivuka mstari...
Nimepita page za wachekeshaji mtandaoni maarufu kama COMEDIAN WA BONGO , Jamaa wanaomba matangazo hata ya Tsh 50,000/= na kumaliza kwa kusema "NJAA ITATUUA"
Mkawasapoti wapate unga na dagaa...
Kwanza niseme tu leo lazima nifungue champagne
Nilikuwa naangalia nomination list ya Grammy kwa mwaka huu ambayo imetoka muda mfupi uliopita
Kuna kile kile kipengele cha Best African Music...
Wakuu,
Naona Watanzania mmepelekea moto wasanii mpaka sasa imefikia hatua wanaahirisha show zao
Tuko kwenye first stage ya Cancel Culture. Tukiendelea hivi tunaenda kutengeneza wasanii ambao...
Haijaisha mpaka iishe.
Tunaanza walipoishia wao.
Kama kweli una uchungu wa watu waliopoteza maisha kwa ajili ya mama yule kuingia madarakani kibabe akisaidiwa na wasanii uchwara kumpa promo...
Msanii wa muziki nchini Joh Makini ameungana na watanzania katika kipindi hiki kigumu "Pole yetu sote Watanzania lakini zaidi kwa ndugu jamaa na marafiki waliopoteza wapendwa wao Mwenyezi Mungu...
Baada ya lawama nyingi kutoka kwa wananchi zikiwalenga wasanii na watu maarufu kwa kutosimama na raia wanapopambania utawala wa haki badala yake wasanii wamekuwa upande wa watawala na kudidimiza...
Ninakiri na wengi mnajua namna nilivyokuwa ninamsapoti Diamond Platnumz,
Ila kutokana na maujinga yake nilipunguza rasmi ushabiki wangu kwake labda baadaye sana kama itatokea atabadirika na...
Juma Jux kupitia ukurasa wake wa Instagram ametoa pole kwa famili zilizopoteza watu katika maandamano.
"Mungu ibariki 🇹🇿 tanzania, praying for peace and healing. Mungu awatie nguvu na faraja...
Kumekucha huko !!
Utachagua Mawili tu hapa
1-Uwabagaze Watanzania ili Jina lako liingizwe kwenye Orodha ya Watu wasosamehewa Milele na Milele na MUNGU ANENE NAWE.
2-Kukaa Kimya .
Mungu...
Msanii wa Muziki wa Bongofleva 'Zuchu' Kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika kuiombea Taifa la Tanzania kuwa nchi yenye amani, umoja na Upendo
Jambo ambalo wananchi wengi kwa upande wa...
Kutoka katika ukurasa wa Instagram wa msanii wa Bongo Flavour Phina...
"moyo wangu ni mzito sana... 💔 pole nyingi kwa familia, ndugu na marafiki waliopoteza wapendwa wao.
tunaomboleza pamoja...
Kutoka kwenye Ukurasa wa Mwanamuziki Diamond Platnumz ameandika haya
"MWENYEZI MUNGU NDIO MPANGA WA YOTE...NA HAPAJATOKEA JAMBO PASIPO YEYE KUTAKA, NA KILA JAMBO HUTOKEA KWA SABABU...INSHAALLAH...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.