Alikiba alamba dili nene

kibaWaKitaa

Member
Apr 26, 2021
26
55
Msanii wa muziki wa bongo fleva "Ali saleh kiba" maarufu km kingKiba au alikiba amepata ubalozi wa kampuni ya uzalishaji wa vinwaji vya energy drink vinavyofaamika kama "HORSE POWER ENERGY " kutoka Australia.Ifaamike kua kampuni io ni moja kati ya wadhamini rasmi wa timu ya ligi kuu ya England Manchester City.
IMG_0546.jpg
 
Msanii wa muziki wa bongo fleva "Ali saleh kiba" maarufu km kingKiba au alikiba amepata ubalozi wa kampuni ya uzalishaji wa vinwaji vya energy drink vinavyofaamika kama "HORSE POWER ENERGY " kutoka Australia.Ifaamike kua kampuni io ni moja kati ya wadhamini rasmi wa timu ya ligi kuu ya England Manchester City.View attachment 1855825
Kwenda kuongea na waandishi wa habari na kusaini mkataba kavaa kama anaelekea msikitini. Kila sk tunasema kuna shida kwenye kuji brand kwa upande wa king kiba.
 
Msanii wa muziki wa bongo fleva "Ali saleh kiba" maarufu km kingKiba au alikiba amepata ubalozi wa kampuni ya uzalishaji wa vinwaji vya energy drink vinavyofaamika kama "HORSE POWER ENERGY " kutoka Australia.Ifaamike kua kampuni io ni moja kati ya wadhamini rasmi wa timu ya ligi kuu ya England Manchester City.View attachment 1855825
Tumfanyie dua, timu Domo wasije mroga akapatwa na madhila
 
Kuna vitu tukiviongea kuhusu Kiba unaonekana haters, anachukulia vitu simple upande Image na brand anachemka sana, Seven alikuwa anamtengeneza vizuri sijui kwanini waliachana,sasa anaambatana na kina Mwijaku, washkaji zake anao hang akina Matunga.

Leo hii Nandy anaandaa matamasha makubwa na kapata udhamini wa Guiness na TTCL, kishapiga mikoa mitatu na kaita msanii kutoka Nigeria. Yeye kila analalamika "wananibania......wananiroga........." wakati ana support kubwa sana kutoka Clouds,EA,E-FM plus fan base kubwa,kumbe ni yy mwenyewe tatizo hajui branding hana uthubutu ana zidiwa mpaka na mtoto wa kike au sio anazani atakuwa number moja kila siku.

Hajui kuwa mziki hauna mwenyewe,wamepita wakina Prof Jay, Nature,Jide muda huu ndio wakutengeneza hela,ukipita ataishia kulalamika na kulaumu kama Chillah na TID.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom