Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Sanaa inahitaji akili nyingi sana na mmoja ya wasanii wanaowekeza sana kwenye creativity ni Kanye West. Kwa kifupi Donda ni album average tu sio kali kihivyo ila inafanya vizuri sababu ya...
7 Reactions
14 Replies
2K Views
Baada ya wasafi na fiesta jana leo tena full shangwe... Tarehe 25 ndo leo.. Vipi maandalizi huko [emoji23] Mwenye update atuleteee
5 Reactions
77 Replies
9K Views
In another episode of keeping up with the Dangotes, Diamonds mother is done with bae. Mama Diamond appeared to make a brutal dig at her Ben 10, saying it’s over. Mama Dangote was responding to a...
2 Reactions
73 Replies
14K Views
Mwanamama mrembo na mjasiriamali kutoka pande Za uganda [emoji1254], Zari the bosslady , kwenye insta story amepost picha akiwa kwenye ndinga yake mpya ikiwa imeambana na caption ya kumshukuru...
12 Reactions
58 Replies
11K Views
Sasahiv kwa mwendo wa mziki unavyoenda kama msanii unatembelea crown a.k.a Nanasi, kafanye biashara nyingine tuu. Maana mziki pekeyake haulipi. Jux kupitia insta yake leo kaposti msafara wake wa...
11 Reactions
205 Replies
27K Views
Jennifer Lawrence atakuwa mama! Mwigizaji huyo wa miaka 31 ana ujauzito wa mtoto wake wa kwanza na mumewe, Cooke Maroney. Mwakilishi wa Lawrence alithibitisha habari hiyo kwa Watu Jumatano...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari za kazi wa kuu katika jukwaa langu pendwa, kwanza natoa pole kwa member wote kwa kuondokewa na mtu muhimu katika jukwaa hili warumi simfaham sura ila kwa taarifa nilizo pata ni home boy...
0 Reactions
5 Replies
977 Views
Rapper Drake dedicated his new album to model Nadia Ntuli who passed away earlier this year in a motorcycle accident in Dubai. Drake, whose real name is Aubrey Graham, shared the dedication in...
3 Reactions
9 Replies
4K Views
Kupitia ukurasa wake wa Twitter mjukuu wa Bakhresa ametupia gari mpya aina ya Porsche aliyopatiwa na babu yake kama zawadi ya birthday. Haya yametokea wakati kuna mabilionea wamesuasua...
37 Reactions
125 Replies
20K Views
  • Closed
Kwa masikitiko makubwa ninapenda kuwapa taarifa ya mdau mwenzetu humu anayeitwa warumi amefariki usiku wa kuamkia leo Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alipokuwa anapambana kwa ugonjwa wa figo...
121 Reactions
849 Replies
139K Views
Huyu giant anatisha sana sizan kama kuna msanii atatokea kumzid huyu mtoto wa Tandale. Imagine anakua mostly searched artist kwenye nchi za watu Najua Kiba hapendi show...
7 Reactions
25 Replies
4K Views
STAA wa Bongo Fleva , Nasib Abdul ' Diamond Platnumz' amefanya kufuru kwa kumzawadia gari mama yake mzazi , Sanura Kassim ' Sandra ' . Diamond amemzawadia gari mama yake wakati wa bethidei ya...
6 Reactions
185 Replies
30K Views
Pigo lingine laufika muziki wa Reggae. Mwimbaji na mtayarishaji nguli wa muziki wa Reggae, Lee "Scratch" Perry, ameondoka akiwa na miaka 85. Kufuatia taarifa iliyotolewa na Waziri Mkuu wa Jamaica...
7 Reactions
19 Replies
3K Views
Wakongwe mtakua mnamkumbuka Danny De Vito katika sinema mashuhuri alizocheza ilikuwa The Twins ambapo pacha wake alikuwa Arnold Schwarzenegger. Danny ni mtundu na mchekeshaji sana akiwa kwenye...
6 Reactions
10 Replies
2K Views
Muigizaji wa "The Wire" Michael K Williams amekutwa amefariki akiwa na umri wa miaka 54 nyumbani kwake brooklyn, vyanzo vya polisi vimeliambia shirika la habari la PA. Williams, anayejulikana...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kylie Jenner has confirmed she is expecting her second child with rapper Travis Scott following weeks of speculation. The reality TV star and make-up mogul announced the news with a 90-second...
0 Reactions
0 Replies
925 Views
HONGERA[emoji815] Platnumz kwa kupata "likes" na "follows" Million Mbili katika ukurasa wake wa "FACEBOOK"
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wimbo Hallelujah wa Diamond Platnumz wapata shavu kwenye filamu ya Coming 2 America, itakayo achiwa tarehe 5 March 2021. Source:SnS.
12 Reactions
109 Replies
18K Views
Kijana wa tandale atatamba tena kwenye tamasha kubwa la ESSENCE FESTIVAL CULTURE ambalo litakua linajumuisha mastaa kibao kutoka pande zote za Dunia akiwemo Burnaboy pia kutoka Nigeria.
10 Reactions
34 Replies
5K Views
Ni muda kipindi cha Block 89, mimi hukiita kipindi mama cha Wasafi FM, yeah its true ndio kilichoanza, hakiruki hewani. Kuanzishwa kwa kipindi kipya cha The switch kulipelekea kipindi hiko...
16 Reactions
103 Replies
16K Views
Back
Top Bottom