Diamond Platnumz ni msanii anayetafutwa zaidi kupitia Google nchini Kenya

Labani og

JF-Expert Member
Sep 15, 2020
15,773
24,209
Huyu giant anatisha sana sizan kama kuna msanii atatokea kumzid huyu mtoto wa Tandale. Imagine anakua mostly searched artist kwenye nchi za watu

Najua Kiba hapendi show off ila kwa huyu dg mond kiba amepigwa no count coz kwa level aliyofika mond ni level ya U SUPERPOWER that's means ata akiamua kuacha mziki now, baada ya miaka 20 akarudi tena kwenye industry basi atakuwa na speed ile ile

Alafu kuna mjomba nchumari anaajiita teacher. Unajua maana ya kuwa teacher wewe

FB_IMG_16291479031194818.jpg
 
Huyu giant anatisha sana sizan kama kuna msanii atatokea kumzid huyu mtoto wa Tandale .....imagine anakua mostly searched artist kwenye nchi za watu

Najua Kiba hapendi show off ila kwa huyu dg mond kiba amepigwa no count coz kwa level aliyofika mond ni level ya U SUPERPOWER that's means ata akiamua kuacha mziki now ......baada ya miaka 20 akarudi tena kwenye industry basi atakuwa na speed ile ile

Alafu kuna mjomba nchumari anaajiita teacher .........unajua maana ya kuwa teacher wewe
View attachment 1895048
Diamond is now above next level
 
Back
Top Bottom