Nawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi.
Naandika nikiwa na huzuni zilizochanganyikana na hasira kali. Jana hata leo kinacho-trend mitandaoni ni matangazo ya mkutano mkubwa wa injili. Ni...
Taarifa: MwanaMfalme William na Mkewe Kate Leo Aprili 29, 2021 Wanasherehekea Kutimiza Miaka 10 Ya Ndoa Yao
MwanaMfalme William ambaye ni Mfalme mtarajiwa wa Uingereza na Mkewe Kate...
Mwigizaji huyo mashuhuri kutoka Kenya anaeleza jinsi ambavyo Harvey Weinstein, meneja ya kampuni ya utengenezaji filamu, alimnyanyasa kijinsia. Weinstein anasakatwa na sakata la unyanyasaji wa...
One of the richest bloggers in Africa Forbes ilinukuu.
Ukimuona simple tu wa kawaida lakini ana hela ndeefuuu na nyingi sana.
Utajiri wake unakadiriwa 3-5 Millions US dollars. Vyanzo vingine vya...
Baada ya Rotimi kuchafua hali ya hewa huko Insta hatimaye dua za Jux zimekua dua za Kuku, kiukweli wengi hawakutaraji na hata Jux mwenyewe alijua dada yetu anafanyiwa window shopping tu nakuachwa...
Mwaka ukiwa unaishia hivyo kwa wapenzi wa burudani yaani music na wale wa bata batani, viwanja.
Hebu weka top 3 yako hapa ya ma dj waliofanya powa na kukurusha kama sio kukukonga nyonyo na hata...
Naam Lupita nyong'o kutoka hapo juu tu paitwapo kenya ndiye mcheza filamu anayelipwa pesa nyingi zaidi kutokea upande huu wa East of afrika, na hakika hakuna anayeweza kupinga kua huyu dada anajua...
Wakuu naona Siku Hizi MC Pilipili naye Amekuwa Mchungaji Kama Alivyo Masanja Mkandamizaji, Ministry Yake Inaitwa Wonders Sunday Service, lipo Mbezi Beach Africana [emoji3][emoji3][emoji3]
Exclusive kabisa Vanessa Mdee na Rotimi wapata mtoto wa kiume baada ya kuficha kwa miezi mingi.
===
Staa Vanessa Mdee na mchumba wake, Rotimi kupitia mitandao ya kijamii wa Instagram wameposti...
Ni Mwezi wa 6 Huu Tangu Rayvanny atangaze label yake ila hadi leo hakuna chochote kinachoendelea kwenye hiyo label
Juzi kati ametubiga mkwara wa kutambulisha First born wa NLM hadi Leo holla...
Lavalava kitu kinachomkwamisha kutoendelea kimziki kwanza ana kaulimbukeni marafiki zake wanaomzunguka ni walamba midomo hawawezi kumshauri chochote zaidi ya mademu.
Lavalava anatakiwa abadilike...
Ila wazeiaa dah mama J mkali wa kuchezea mike.
Dah sio poaa
Inabidi hawa madem zetu wakapewe somo na Mama J Jinsi ya kushika Koni na kuinyonyaa vile inavyo takiwaa.
Asantee Mama J, leo ume Jua...
Mshindi wa tuzo ya Oscar kutoka Kenya Lupita Nyongo ametuma ujumbe wake katika mtandao wa Twitter akilalamika kufuatia hatua ya Jarida la Uingereza la Grazia kuhariri picha yake na kuufanya uso...
Nasema tena hii ni Aibu kubwa sana kwa Harmonize Waliobahatika Kuangalia ICU leo watanielewa
Harmonize kwa Kujimwambafai Instagram aha Anaongoza ila in Real life ni anasikitisha hivi kweli Msanii...
Naimani mko buheri marafiki,
Naomba mwenye kuweza kuweka CV au taarifa za kina zitazofanya sisi wengine wa ukanda wa Afrika mashariki huku tumjue huyu bwana.Jamaa namfahamu kama msanii mwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.